carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,249
Sawa nenda kale kama umechoka kwa njaa.. Una shindia jaba na ngemu unakuja kuleta maneno matupu hapa.Sitapoteza muda wangu kuargue na wewe. Wakenya wengine pengine wana hio energy. Mimi sina.
Sawa nenda kale kama umechoka kwa njaa.. Una shindia jaba na ngemu unakuja kuleta maneno matupu hapa.Sitapoteza muda wangu kuargue na wewe. Wakenya wengine pengine wana hio energy. Mimi sina.
I have noticed most of these guys can't sustain a discussion. I don't know if it's there culture.Sitapoteza muda wangu kuargue na wewe. Wakenya wengine pengine wana hio energy. Mimi sina.
I have no idea what is wrong with them. I have met very few of them with the mental acuity capable of holding a mature and informative discussion.I have noticed most of these guys can't sustain a discussion. I don't know if it's there culture.
Most resort to arguing and name calling. What's the problem. Even a 1st year student can do better
Data ushaletewa. Jukumu ni lako kwa kupinga na kuleta data inayo support maoni yako. Kama vile mawakili wanavyosema, the onus is on you to provide the burden of proof for your accusation.Hahaha mungiki wote mmetoka shimoni mmekuja juu kweli.. I hizo takwimu za KPA sina shida nazo.. Tunajua michezo ya takwimu..
Hizi shipping line zinajua ni wapi wanashusha mizigo kwa Sana na kupakia kwa Sana. Wanajua ni port gani iko busy in operations kuliko nyingine. Sasa nyie mungiki mnaoamini katika takwimu leteni source ya hizo takwimu kutoka katika vyanzo vingine tofauti na hizo za Sasa.
Hizo takwimu nimeonesha watu wa TPA hapa hata hazijui, na hajui zimetoka wapi na data zilikusanywa lini. Ila watu wa Maersk na Hapag wanadai meli zinazokuja ni nyingi zaidi.. Hata juzi suez ilivyoziba ni central corridor iliathirika zaidi na iko documented.
Naomba mlete source kutoka reputable maritame journals sio data uchwara hizo. Tena detailed data kuonesha Aina ya shipment zinazopita kwenye hizi corridor mbili na sehemu zinazohumu hizi route.
Kafrican Tony254 na bwana mapesa Teargass karibuni kwa matured dialog
Well, nadhani umeelewa sasa kwamba hizo takwimu sio valid.Data ushaletewa. Jukumu ni lako kwa kupinga na kuleta data inayo support maoni yako. Kama vile mawakili wanavyosema, the onus is on you to provide the burden of proof for your accusation.
Hauwezi kuenda kotiini kunisstaki kwamba nimekubaka alafu ukaniuliza eti mimi ndo nitoe ushahidi kwamba nimekubaka, ushahidi wangu ni ushahidi wangu, kama huamini takwimu za TPA kwamba Dar inapakia only 16m tones basi jukumu ni lako kutoa ushahidi mbadala, sio kutuuliza sisi tukuletee source nyingine
Leta takwimu inayopinga hoja yetu na kusupport hoja yako kwamba Dar port iko na shipments nyingi kuliko Mombasa! Hakuna mahali tutaelekea bila wewe kuleta data za kuaminika hapa. Umepinga data zetu Sasa Leta zako Kwanza ndo tuendelee.Well, nadhani umeelewa sasa kwamba hizo takwimu sio valid.
But anyway, twende na hizo takwimu zako.. Hiyo report iko detailed kuelezea ni mizigo gani haswa inapita kwenye hizi bandari zetu? Yani volume ya export and import in tonnage.
Halafu takwimu tunaweza kutengeneza tu hata sisi hapa.. Tunaweza kufanya analysis ya mizigo kujua why msa inapita mingi au Dar.. Twende kwa facts hiyo mizigo inapita kwenda wapi?
Takwimu za kiuchumi sio za kuingia maabara Buda, reflection yake inaonekana haraka na kupimika kwenye jamii bila shida. Haya leta mchanganuo wa import and export hapo kwenyu
Acha ubishi wa kitoto leta hoja zenye mashiko hapa. Leta mchanganuo wa hizo takwimu zenu hapa. Sio kusema tu mnapitisha tani kumi.. Sema tani tano zinakwenda nje na tani tano zinaingia ndani.. Na pia useme ni tani za mizigo ya aina gani haswa..Leta takwimu inayopinga hoja yetu na kusupport hoja yako kwamba Dar port iko na shipments nyingi kuliko Mombasa! Hakuna mahali tutaelekea bila wewe kuleta data za kuaminika hapa. Umepinga data zetu Sasa Leta zako Kwanza ndo tuendelee.
Nilijua tu hauna lolote mbali na kujua kutumia keyboard. Typical Tanzanian Hana fact yoyote. Umeshindwa kuleta data hata moja mpaka Sasa. Just imagine! Mtu ana spend siku nzima hajatoa source yoyote baada ya kujigamba anajua hali halisi!Acha ubishi wa kitoto leta hoja zenye mashiko hapa. Leta mchanganuo wa hizo takwimu zenu hapa. Sio kusema tu mnapitisha tani kumi.. Sema tani tano zinakwenda nje na tani tano zinaingia ndani.. Na pia useme ni tani za mizigo ya aina gani haswa..
Otherwise muendelee kujibamba na hizi jaba facts mkiwa kejani kwenyu huko.. Mkizileta kwenye public mzitete kwa mifano iliyo dhahiri sio maneno matupu tu kuropoka kutaja namba kama kasuku..
Sawa wewe mwenye facts si uziweke hapa? Shida iko wapi.. Leta raw data zilizotengeneza hiyo takwimu uchwara.. Simple tu mbona mzeeNilijua tu hauna lolote mbali na kujua kutumia keyboard. Typical Tanzanian Hana fact yoyote. Umeshindwa kuleta data hata moja mpaka Sasa. Just imagine! Mtu ana spend siku nzima hajatoa source yoyote baada ya kujigamba anajua hali halisi!
Facts zishaletwa jukumu ni lako Sasa kuleta zile zako. Very simple. Na Kama the next comment si raw data inayopinga zile tulizoleta basi nyamaza, usinipotezee mudaSawa wewe mwenye facts si uziweke hapa? Shida iko wapi.. Leta raw data zilizotengeneza hiyo takwimu uchwara.. Simple tu mbona mzee
MY TAKE
The following is still missing
- Road networks
- Internet
- Installation of key office equipments
- Security
Huyo jamaa anaelewa haya mambo. Anapost hizi expected challenges kwa sababu anafurahia kwamba Lamu port inapitia challenges. Yaani furaha kwake ni kuona Lamu port ikifail. Some of these challenges zitakuwa adressed very quickly for example buying of office furnitures au access to the internet. These are very short term challenges.These are teething issues that will all be solved within a few months. Lamu port will be fully equiped b4 the end of this year. Hapo ndo official operations zitaanza. Kwa Sasa hizi biashara zitakazo fanywa pale Lamu most likely hazitachargiwa pesa yeyote, itakua ni kama vile trial study operations kutambulisha Dunia kwamba Kuna bandari babkubwa imefunguliwa Lamu, leteni meli zenu kubwa zipime kama zinaweza Kuja hapa na hatutawalipisha chochote kwa Sasa ama 50% discount.
Ni sawa tu na vile mkifika 100% ya ujenzi wa SGR hamtaanza biashara day 1, mtachukua kama 6months mkifanya trial runs kwa huo mfumo mpya wa uchukuzi ili ku build confidence kwa wafanyibiashara. After hapo ndo unapandisha bei official na kuanza commercial operation.
Fact gani umeleta? Mnapitisha nini hapo bandarini kwenu? I'm sure kama umeweza kupata volume of cargo in tonnage, huwezi shindwa kusema ni vitu gani haswa vinapita hapo na kwenda wapi.. Kenya ni watu wa data naamini utaniletea data za kutosha katika hili..Facts zishaletwa jukumu ni lako Sasa kuleta zile zako. Very simple. Na Kama the next comment si raw data inayopinga zile tulizoleta basi nyamaza, usinipotezee muda