Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Sio mbaya kuota. Wacha waendelee kuota tu. Kenya itabaki kuwa the premier port hub destination In East Africa.Pigo la msumari wa mwisho kwenye mradi tembo mweupe wa Lamu umefika baada ya Somalia kuanziasha mradi wa Hargesia Bypass ambayo itaanzia Berbera corridor ambapo itaunga hadi Wanjale Ethiopia.
Expansion in Berbera port na turkey influence katika maritime trade and investment in Somalia ndio imewavuta UK ku finance hiyo Bypass kubwa ya kimkakati. Na distance from Somali to Ethiopia ni fupi zaidi. Na pia S. Sudan wako na strong economic ties and relation with Ethiopia than kenya, so the network will extend from berbera corridor via wanjale Ethiopia to Juba.
Tony254 Yosef Festo