CPA haubahatiki kuipata ila wewe ni Kipanga mkali, Genius nk taaluma hii ni ngumu tunaijua wenyewe, mikimiki ya MANAGEMENT ACCOUNTING migumu kwaiyo jikubali kaka
Wadau naomba mniwekee hiyo namba iliyotumika kuwapigia simu kutoka LAPF.
Shukran kaka yako napita kunanamba ilinicall mda flan nilikua nimezima simu hii hapa +255901761234.
mm nimepigiwa leo nafasi COMPLIANCE OFFICER ila eneo la interview sikusikia vizuri maana nlikua kwenye daladala kwa waliopigiwa kwa hii nafasi anifahamishe tafadhali.
DUCE mkuu tarehe 11/7/15
asante mkuu nilishaanza kuumiza kichwa nauli y dom hawa jamaa ni waelewa sana wameamua kutuletea interview DAR.
Bora ww uko dar wengine tupo mbali
Kumbe na ww ni mtafuta ajira!!!! Kila la kheri kijana!!
wakuu leo nilipigiwa simu kwa ajili ya interview, naona wameanza kuita.
Mimi nimeitwa katika nafasi ya accountant!
Naomba unisaidie wewe uliambiwa lini na saa ngap kwa hiyo interview?
Operation officer bado hawajaitwa eeh! Maana nasikia post mbili tu ndio mlioitwa hizo zingine nafikiri bado,, au mi cna vigezo
Ndo hao lapf wewe jiandae na mtanange jmosi