Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
Wakuu leo nilipigiwa simu kwa ajili ya interview, naona wameanza kuita.
Mimi nimeitwa katika nafasi ya ACCOUNTANT!
Mimi nimeitwa katika nafasi ya ACCOUNTANT!
tarehe 8 lapf millenium tower
hawa wanoita kwenye usaili kwa kupiga simu mimi huwa sina imani nao, wangeweka majina tukaona.
ppf au tra huwa wanatumka email sms au simu ni kitu cha kawaida.
Mimi sijui mtu ila nimeitwa nikajaribu bahati.Sio lazima wote tuitwe mkuu na sio lazima niliyeitwa nitapata.Sali tu mkuu
utaratibu wa kuweka majina kwenye magazeti sio mzuri , utaratibu wa kupiga simu na email ndio sahihi, mimi pia wameniita kwenye interview tar 8/7hawa wanoita kwenye usaili kwa kupiga simu mimi huwa sina imani nao, wangeweka majina tukaona.
hata mimi mkuu
millennium towers, accountant post, calculator, picha tatu, vyeti originalmimi simuelewi anavyosema lapf millenium tower na duce. wewe umeitiwa post gani na interview kakuambia ni wapi?
millennium towers, accountant post, calculator, picha tatu, vyeti original
sijaisave no yakeni duce mkuuu. mpigie sasa hivi umuulize. mimi mara ya pili nimemuuliza
sijaisave no yake
angalia kwenye received calls inaanza na 026