Lap top yangu inapata moto sana

pamoja na ushauri wangine,cheki na member anaitwa Sharobalo!hope atakusaidia pia
 
Adjust your power settings from "high performance" to a more "balanced" or "power saver" plan. This will tell the system to only use the power required to run your applications, rather than always using the maximum processor speed; if you need to play games or other intensive work, you can switch back to the high performance plan as necessary.

Muhuliza swali aliposema kwamba computer yake inapata joto sana ikifungwa kwenye umeme lakini siyo wakati anatumia battery, basi nikakambuka kwamba tatizo litakuwa adjustment za POWER SAVER, ukikosea ukaweka kwenye high performance basi hiyo inahipa kibari processor kufanya kazi kwa kasi kubwa hivyo kuifanya processor hi-generate joto jingi na infact kama hakuna cooling system ya ku-sustain joto hilo processor huwa inakuwa punctured (inaharibika).

Vile vile unaweza kununua kitako cha kuwekea laptop yako ambacho kina fan mbili hili kisaidie ku-cool joto kwa haraka kutoka kwenye laptop yako. Na hakikisha hakuna obstruction yoyote kwenye njia za cooling system kuhanzia kwenye cooling fins mpaka ndani.
 
[/LEFT]

Muda mwingi inakuwa kweye Balanced(Recommended) setting.

Quick solution ninayoona hapa ni kununua hiyo laptop cooling device. Hiyo cooling system nje hadi ndani naona ni tatizo coz mimi si mtaalamu wa mambo haya. Na pia siwaamini sana mafundi wengi wa electronics hapa kitaa coz wengi magumashi sana.
 
WanaJF anomba ushauri ktk hili:
Lap top yangu ni aina ya HP Pavilion dm3. Inapata sana joto ninapokuwa natumia ikiwa connected kwenye umeme, zaidi ni pale nikitumia internet.
Na ikitokea hivi huwa fan yake inapuliza sana. Kwa kawaida ninaitumia ikiwa kwenye meza yenye kitambaa. Lakini nikiitumia kwa battery yake tu, haipati joto kabisa na inakuwa silent ninaweza kuitumia hata masaa 2-3 bila kuzima.

Je, hivi ndio inaanza kuchoka kwa style hii? What can be the solution?

1.Kwanza feni ya kupooza processor ipo upande gani?
2.Kama ipo upande wa chini (base) then unaiweka kwenye meza yenye kitambaa jua processor fan inakuwa haipoozeshi vizuri* ndio maana inapata joto haraka*
3.Kama processor zipo pembeni na bado inapata joto either fluid iliyopo kati ya heat sinker na processor pengine imeisha au imekauka so fanya mpango wa kuweka fluid nyingine hapo

Mimi natumia hp pia power saver ipo kwenye option ya Balanced ila inafanya kazi fresh ikiwa kwenye umeme hata nikitumia batery tu... so wanao shauri juu ya setting za power plan am not sure..ntacheki if true ntawajuza
 
Mawazo yako mazuri pia naongeza kitu kimoja hakikisha unapotumia Laptop usitumie Laptop yako Adaptor ya umeme pamoja na betri imo ndani hiyo pia inasababisha kuwa Laptop yako kuwa na joto

sana. Hakikisha unapotumia Laptop umeitowa betri yake utumie Adaptor ya umeme tu na umeme ukikatika ndio waweza kutumia hiyo betri yake Laptop yako. Fanya hivi iwashe hiyo Laptop yako ikisha jaa chaji kwenye Betri yake izime kisha itowe hiyo Betri ya Laptop yako kisha tumia Adptor yake ya umeme tu ,umeme utakapo zimika ndio waweza kutumia Betri yake hiyo laptop yako hiyo njia itakusaidia kufanya pia Laptop yako kupungua joto ndani yake na kuifanya Betri kuwa na uhai mrefu huo ndio ushauri wangu.
 
Acha ushamba bhana,laptop ndo zilivyo tena zaid matoleo ya pavilion za saiv ndo huwa hivyo ila tu usiweke juu ya kitanda au kitambaa just put it on the table ili fane ipulize vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom