simu yangu inapata joto sana,,

simu yangu inapata joto sana,,

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
habari wanajanvi,ninasimu yangu ni Samsung captivate glide sgh-1927,kuna muda inapata joto sana inapokua chaj,hasa Kwenye battery na upande wa camera kwa nyuma,sometime pia nikiingia ktk internet inapata joto sana mpaka naogopa,naomba msaada ndugu zangu,,lakini pia kama naweza kupata housing yake basi naomba maelekezo wapi nikanunue,jaribu
 
Jambo la kawaida hasa unapotumia Internet. Simu yangu ni Sony Xperia, nikitumia Opera for browsing haipati moto, nikitumia Chrome ni dk3 tu inakuwa hot.
 
Nilidhani ni S4 mana huwa zinalipuka !
 
habari wanajanvi,ninasimu yangu ni Samsung captivate glide sgh-1927,kuna muda inapata joto sana inapokua chaj,hasa Kwenye battery na upande wa camera kwa nyuma,sometime pia nikiingia ktk internet inapata joto sana mpaka naogopa,naomba msaada ndugu zangu,,lakini pia kama naweza kupata housing yake basi naomba maelekezo wapi nikanunue,jaribu

itakuwa ina malaria ya dengue embu itafutie panadol na maji kwa wingi.
 
Back
Top Bottom