Brother Hemedi
Member
- Jun 21, 2016
- 19
- 39
Haha...kwahiyo unataka kunambia wewe haujali pesa sio,vipi nafasi zimeisha au bado zipo tuwahi kabisa??[emoji2][emoji2] [emoji125]Omba Mungu akuongoze upate kama akina sie tulio na upendo wa kweli tukipenda.
Lakini kumbuka money is not everything, you can have rich boyfriend without a true love!kipi bora hapo??Duuu polee but Mimi unilambi iviivi ata ella ya kubadilishia kyupi usinipe nyoko? No money no love mssg sent![emoji126] [emoji108]
Sawa, kwahiyo unauza sh. ngapi wadau tupande bei?Duuu polee but Mimi unilambi iviivi ata ella ya kubadilishia kyupi usinipe nyoko? No money no love mssg sent![emoji126] [emoji108]
No maney no sex, no maney no love????Duuu polee but Mimi unilambi iviivi ata ella ya kubadilishia kyupi usinipe nyoko? No money no love mssg sent![emoji126] [emoji108]
Yamekuwa hayo tena[emoji15] [emoji15] [emoji15]Sawa, kwahiyo unauza sh. ngapi wadau tupande bei?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji108] [emoji126]Lakini kumbuka money is not everything, you can have rich boyfriend without a true love!kipi bora hapo??
Yeah 100%[emoji126] [emoji108]No maney no sex, no maney no love????
Sasa si umesema mwenyewe hutoi bila hela mrembo?Yamekuwa hayo tena[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Haha...kwahiyo unataka kunambia wewe haujali pesa sio,vipi nafasi zimeisha au bado zipo tuwahi kabisa??[emoji2][emoji2] [emoji125]
naomba nikupate ww mrembo, japo ni mpinzani wangu katika mambo fulani, siku mondi akibeba tuzo ndani silaliNapenda ndio maana natengeneza zangu pia hata nazopewa na wazazi nasevu kwa kwenda mbele...na hilo lazima dume lijue eeeeeh ila mtu usisarandie kuonyesha unataka pesa, mbabe, muongo na kulelewa ka bebi...uonyeshe unajua kuzisaka pia hata ikiwa shilingi moja unapata. juhudi upendeza hata mtaji waweza pewa na mwanamke. Bila kusahau kutoa mapenzi utwamwu wake mawaba na mawasiliano na kujifunza kujuana na kurekebishana ki mawaba. Mimi bado naota juu ya kuishi na mwanaume nasubiri mume nitakayepangiwa nafata ya kwenye biblia.
naomba nikupate ww mrembo, japo ni mpinzani wangu katika mambo fulani, siku mondi akibeba tuzo ndani silali
hahahahh, nakumbuka wakati nakua kuna familia mtaani baba alikuwa yanga mama simba.. kipindi kile simba wapo vizuri, mzee alikuwa analala mapema.. ushabiki huuTeh teh teeeee mimi na wewe ni maji na mafuta. Hatutawezana kabisa ati unaonaje?
Ngoja niende snapchat nione karusha nini tena maana mie na yeye hajui tu...napanga nikutanishwe nae nimkumbatie na kumpa busu tamu la shavu. Labda leo atanisoma na kunitumia PM au akina Babu Tale na Salaam.
Siku moja nikiwa likizo Dar nitaweka kambi nje ya geti lake. Huku mkoani kwetu hajaja bado akija nitakuwa rafiki wa polisi na wakuu wote kwa sekunde moja nimfikie Simbaaaaaa
Hapo sasa nimekuelewa,you tried to be neutral, hivyo ndivyo unatakiwa uwe. Haya nambie mtanichaji ng'ombe wa ngapi kama mahari manake sisi huwa tunatoa ng'ombe tu(Kidding)[emoji39] [emoji39]Napenda ndio maana natengeneza zangu pia hata nazopewa na wazazi nasevu kwa kwenda mbele...na hilo lazima dume lijue eeeeeh ila mtu usisarandie kuonyesha unataka pesa, mbabe, muongo na kulelewa ka bebi...uonyeshe unajua kuzisaka pia hata ikiwa shilingi moja unapata. juhudi upendeza hata mtaji waweza pewa na mwanamke. Bila kusahau kutoa mapenzi utwamwu wake mawaba na mawasiliano na kujifunza kujuana na kurekebishana ki mawaba. Mimi bado naota juu ya kuishi na mwanaume nasubiri mume nitakayepangiwa nafata ya kwenye biblia.