Landslide

Landslide

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
At Suhua Highway Taiwan mwaka 2010

10171742_10203529171939703_266145373_n.jpg

1978834_640884619334293_1847080986_n.jpg
 
kama bongo tutalia mwaka mzima sababu hicho kipande kitarekebishwa baada ya miaka miwili
 
ingekuwa bongo ingebomoko umbali kilometa 2kila upande..
 
Mkurugenzi wa kinondoni njoo huku ujionee tufanye upembuzi yakinifu.
 
Duh! Bora hatujajenga na sisi yangetukuta hayo!
 
Kwanza hyo high way inayojengwa hapo morogoro road ni balaa
 
Aisee...kila kitu kina challenges zake
 
ehee, baada ya hapo ilikuwaje?

manispaa ya kinondoni kwa upande wa huko wameshaijenga upya!!?
 
Back
Top Bottom