Landrover 110 for sale

Landrover 110 for sale

Ni cc ngapi mkuu na una muda gani nayo tangu ulivyoipata hiyo gari.

kwa asili ni cc 6500 na atakuwa amaeinunua kwa mtu aliyeinunua kwa mtu aliyeinunua kwa mtu aliyeinunua kwa mtu aliyeinunua kiwandani.
 
kwa asili ni cc 6500 na atakuwa amaeinunua kwa mtu aliyeinunua kwa mtu aliyeinunua kwa mtu aliyeinunua kwa mtu aliyeinunua kiwandani.

Mkuu haiwezi kuwa na cc nyingi hivyo labda kama walibadili wakaweka injini ya Fuso
 
Gari hiyo ni gari ya kazi haswa. . . .ila watu badala ya kuuliza kama ilifanyiwa overhaul, gear box uzima wake, pump, diff na mengineyo mnauliza roof????!!!

Wanunuzi watakuja
 
Kama kwel ni Cc 6500 iyo inatakiwa ibebe abiria kijijini.
 
Hizi ni zile zilizokua za research naliendele,zililua mpya nikiwa na miaka 6 now im 30.
 
wacha kukatisha tamaa wenzio wanaotaka kununua kama huna hela kaa kimya ,imeibiwa msumbiji umethibitisha? au unalopoka tuu na wewe uonekane umecoment

Be transparent! Au unataka kuuzia watu Mbuzi kwenye gunia!
 
Hizi ni zile zilizokua za research naliendele,zililua mpya nikiwa na miaka 6 now im 30.

Umejuaje mkuu??? Au kila Landlover inayouzwa ni ya kutoka huko kwenu Nalilendele sijui... Au mradi umeandika tu..!!!!!!
 
Umejuaje mkuu??? Au kila Landlover inayouzwa ni ya kutoka huko kwenu Nalilendele sijui... Au mradi umeandika tu..!!!!!!

Mimi nina nguvu nimejaliwa za kujua kila kitu,we huoni mtoa mada hajabisha wewe ndo kiherehere kingi.
 
Toa detail zaidi broo ... Hii inafaa sana kule milima ya upareni na nazikubali sana maana kwa Moshi spea zake ni nyingi na rahis sana.
 
Bukoba boy sio kila mzungu ni padre nikiwa na maana kuwa sio kila landrover 110 iliyoko Mtwara imetoka naliendele. Hii gari niliinunua University of Dar es Salaam wakati huo.
 
Habarini za jioni wadau. Nashukuru kwa wale mlioonesha nia ya kutaka kununua gari yangu niliyotangaza kuiuza na pia nawashukuru wale wote waliokuwa wanatoa comment za kejeli. Kwa sasa imekodiwa hivyo haiuzwi tena. Na kwa alieuliza ni cc ngapi ina cc 2394.
 
Back
Top Bottom