Landmark kufunga Hostel kurudisha Hotel August

Landmark kufunga Hostel kurudisha Hotel August

..mi nimewahi kulala hapo kwenye ka gesti kao ka buku 5 mwezi mzima huku nikila hapo hapo...enzi hizo ndio nimepata ajira Dar Na sijaanza kupokea mshahara wala nyumba ya kuishi...nimewakazia sana mademu hapo gesti ya kinyaiya...enzi hizo...

hahaha napajua kipindi nikija huko Tanzania (DAR) maana mie niko huku Tanganyika, nilikuwa ninalala Landmark lakini msosi na vinywaji ni hapo Kinyaiya
 
..mi nimewahi kulala hapo kwenye ka gesti kao ka buku 5 mwezi mzima huku nikila hapo hapo...enzi hizo ndio nimepata ajira Dar Na sijaanza kupokea mshahara wala nyumba ya kuishi...nimewakazia sana mademu hapo gesti ya kinyaiya...enzi hizo...
Hongera, ulitumia kinga lakini?
 
Plus magufuli hostel zinaanza kutumika so atakosa kabisa wateja....
 
Si walimtetea huku kwamba sababu magufuli biashara nying zimefungwa haya sasa leo watasemaje?
 
Tulisemaga huku tukaambiwa hatujuwi mahesabu watu waka shusha mahesabu wakasama jamaa kacheza mamaaaeeee awe anauliza watu walisha dumbukiza miguuu karibia kwenye biashara mia na zaidi angekuja kuuliza huku asingejaribu hiyo kitu!!!
 
Back
Top Bottom