BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,631
- 11,890
Nilikuwa napiga kinywaji jana pale Landmark Hotel Ubungo Riverside, nikabadilisha mawili matatu na mmliki wake na akaniambia Hosteli hazilipi, anajilaumu kurupuka kuchukua uamuzi wa kufunga hotel.
Na kwa sasa ameanza ukarabati upya ili kuirudisha hoteli itakayoaanza kutoa huduma Agosti au mwanzoni mwa Septemba this year.
Wanafunzi wote wameshapewa notice ya kuondoka na kwa kiasi kikubwa anasema wanafunzi ni waharibifu, anachojivunia ni kwamba hakufunga bar na kumbi za harusi kwani ndizo zilizomlipa zaidi kuliko hosteli
SOURCE: Bigbro