siku wakiwa wanaua ndugu zako tutaomba uwazuie wasichukue picha mpk TCRA watoe vibaliIli kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Wewe ni mjinga kabisa. Huna maarifa.Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Mdau kutoka Facebook ana semaIli kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Kurusha satellite means launching?Ili kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Mkuu wewe na aliyeweka thread wote hamjui satellites ni nini na zinafanyaje kazi.kwahiyo hata katika hili walihitaji kibali?
Kama umesoma sheria angalau chekechea unajua kuwa sheria inaruhusu kuvunjwa panapolazimika.
Mfano 1. Hurusiwi kuingia chumbani kwa mtu pasipo ruhusa lakini ikitokea kuna hatari ya moto, mauaji, ubakaji huhitaji ruhusa kuingia chumbani kwa mtu.
Mfano 2. Hurusiwi kuingia shambani kwa mtu pasipo ruhusa lakini unapoona jambazi kajificha shambani mwa mtu na wewe ni askari utaenda kumshika jambazi au utamtafuta mwenye shamba ili akupe kibali?
HahahaIli kuweza kurusha satellite kwenye anga la Tanzania unahitaji kibali cha TCRA ..Je kama kuna ukweli wa picha zinazodaiwa ni za sattellite je wahisika walipata kibali?
Kama hawakuwa na kibali je ni mara ngapi wamefanya hivyo kukiuka the right to privacy??
Hawa chawa wa ccm hawana elimu kama maboss zao. Anahisi satellites ndio dronesKurusha satellite means launching?
Hawaitaji kibali, kama vile google earth na wengine. Wanarusha satellite huko kwao
Inazunguka dunia yote