Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,024
Wakuu nimeanza kuomba na kufunga ili Allah anijaalie kumiliki hiyo ndinga!
Very Expensive....Hivi kwann mkonga huzikuti yard?
Binafsi na matumizi ya shambaUnataka iwe ya biashara au matumizi binafsi
Hili swali hata mimi nshajiuliza sana,hata kwenye mitandao maarufu ya kuuza magari japan kama befoward,sbtjapan n.k ni ngumu kukuta mkongaHivi kwann mkonga huzikuti yard?
Unataka niombe ya wapi mkuu?Acha kuomba ya duniani.....!