Kuna Land rover mobile S1 na S2. Battery zake ni 1850mAh na hizi simu zina android os v4.0 ics. inadumu masaa 18 katika 2G na hazina 3G hizi simu. IP certified kwahiyo matope vumbi inapiga kazi. ina design mbaya kama garmin gps. inawafaa watu wa kazi. kwenye kudaka network iko safi sana.