BYD Ti 7 inampa nightmares Land Rover Defender.

BYD Ti 7 inampa nightmares Land Rover Defender.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
34,553
Reaction score
100,683
Land Rover Defender inazidi kupata wapinzani kutoka China, na sasa BYD Titanium 7 ,(BYD Ti 7) imejoin the gang.
223.jpg
220.jpg

TI 7 Ina option ya hybrid range extended au full EV, na pia either FWD au AWD.
221.jpg

Ukiiangalia kama imekuja Kwa wapenzi wa Defender ambayo uchumi umeyumba.
222.png
 
China kwa baadhi ya gari kashika soko vizuri sana hao ma defender yapo bei juu hata la miaka ya nyuma bei mlima wacha China aje kuleta upinzani kidogo hao wengine nao washuke.

Why defender bado inanunuliwa to date it was tested kwenye mazingira na ika deliver

Hili la wachina limekuwa tested kwenye rough,bad enviroment africa or south america ika deliver?
 
Why defender bado inanunuliwa to date it was tested kwenye mazingira na ika deliver

Hili la wachina limekuwa tested kwenye rough,bad enviroment africa or south america ika deliver?
Kwa Nchi zilizoendelea China wanauza gari zao maswali mengi wanajiuliza Nchi masikini kwa sababu ya kipato kidogo harafu aje kununua gari sio imara ndio changamoto ila kwa wenzetu mfano hapa SA gari za China zimejaa..
 
MATUTA BARABARANI KUTOZINGATIA UTAALAM
Hivi karibuni, kumezuka mtindi wa wananchi kujiwekea matuta ya barabarani (road bumps) kwa kienyeji bila kufuata utaratibu wa kitaalam. Hii katika barabara za vumbi au changarawe. Matuta haya yamekuwa na athari chanya nyinginkwa watu na vyombo vya usafiri,hasa magari. Yanarefushwa sana kwenda juu, lakini yakiwa na upana mdogo sana kiasi kwamba, magari, hasa yale madogo madogo yanapita kwa taabu sana, ama kushindwa kabisa kipita mpaka lipate msaada wa kusukumwa.

Cha ajabu, mamlaka zinazohusika (Tanroads na TARURA) wako kimya tu bila kujali madhara yanayosababishwa na matuta haya kwa magari na watu pia.

Sipingi haja ya kuwa na matuta haya. Ila, mamlaka zingesimamia wananchi waweke kwa kufuata utaalam usionna athari kwa watu na vyombo vya usafiri.

Ukurasa hautishi,vinginevyo ningeorodhesha madhara au athari hizi kwa undani.

Mwisho, naomba mamlaka zisimamie ili yalokwisha kuwekwa yafumuliwe na kuwekwa mengine kitaalam.
 
China kwa baadhi ya gari kashika soko vizuri sana hao ma defender yapo bei juu hata la miaka ya nyuma bei mlima wacha China aje kuleta upinzani kidogo hao wengine nao washuke.
Chema chajiuza kibaya chajitembeza. Ununue mchina utumie muda mfupi au landrover utumie muda mrefu.
 
Back
Top Bottom