suala hili lipo kiufundi zaidi ila muda wa kukufanulia ni mrefu sana, angalia bei ya range rover na land cruiser v8 alafu uone utofauti hapo nimekupa ufupi tu wa ubora wa range,
land cruiser huwa na tabia ya kuchomoka sweevo bearing lakini ukija kwenye hizi discover hicho kitu hakipo na kikitokea ujue hiyo gari ina miaka mingi sana tofauti na cruiser
masuala ya four wheel land rover walikuwa na special gear ambayo hiyo ndio mkombozi wa kokote pale ukwamako na hii ukitaka kuijua uzuri wake mpaka uitumie milimani na mlima huo uwe wa utelezi na mashimo hapo jombaa lazima uone tofauti ya gari hizi
Mkuu nashukuru kwa Maelezo yako japo bei ya gari haina uhusiano moja kwa moja kwamba ndio zuri ...najua the Almighty Range Rover is the best so far ..ila tukija kwenye hayo matoleo mengine ya Land Rovers binafsi Nita opt land cruiser
5.7 Litre v8 six speed transmission
Body control yake ni nzuri under breaking
Steering ambayo ni light at low speed but weights up as speed rises
Better on the road na pia off-road
Strong v8 engine which deliver a quick acceleration
A 5.7 v8 makes 381 horsepower and 401 pound feet of torque
Ukija kwenye handling and breaking inakua na little body lean na pia
Kinetic dynamic suspension system
Off- roading ni full time 4 wheel drive, multi terrain select.pia ina 8 seats ,heated and ventilanted, power adjustable front seats,heated second row seats ,heated steering wheels
Ignition. Push to start, key
Rear seat DVD
Rearview camera
automatic climate control
Navigation
Satellite radio
Bluetooth, adaptive cruise control
Usb port,HD radio
Front and rear packing sensor s
Six airbags
Mkuu hii gari kwangu ni best off road au on road ,