Land Rover Discovery 4 off road capabilities.

Bavaria jina la kwanza ni LANDROVER....HIO NI THE BEST 4X4XFAR
 
Last edited by a moderator:
Nijuavyo mimi kwa best 4×4 ulimwenguni kwa gari ndogo hizi no1, ni land Rover, hii ni kuanzia 109,110,defender,discover na nimewahi kuzitumia gari hizi hapa land cruiser inasubiri
 
Huwa naonaga defender zina matatizo sana.
Hadi leo sijawahi kuziamini.
 
ukiona jeshi la polisi wanakaa na gari zaidi ya miaka kumi iheshimu......polisi wana defender zina miaka zaidi ya kumi.
sasa hivi wamepewa toyota pick up,zipe miaka mitano kama utaziona barabarani!
 
Nijuavyo mimi kwa best 4×4 ulimwenguni kwa gari ndogo hizi no1, ni land Rover, hii ni kuanzia 109,110,defender,discover na nimewahi kuzitumia gari hizi hapa land cruiser inasubiri

Unaweza ukawa sahihi ila sijajua ni Land cruiser ipi unayoizungumzia kwamba itasubiri kwa hizo land rovers ulizozitaja
 
ukiona jeshi la polisi wanakaa na gari zaidi ya miaka kumi iheshimu......polisi wana defender zina miaka zaidi ya kumi.
sasa hivi wamepewa toyota pick u p,zipe miaka mitano kama utaziona barabarani!
Mkuu landrover na landcruiser ni gari mbili tofauti kabisa kila gari ina sifa yake
Lakini unapozungumzia ubora wa magari haya kwa ujumla landcruiser pickup ni habari nyingine kabisa
 
ukiona jeshi la polisi wanakaa na gari zaidi ya miaka kumi iheshimu......polisi wana defender zina miaka zaidi ya kumi.
sasa hivi wamepewa toyota pick up,zipe miaka mitano kama utaziona barabarani!

Kwangu mm defender mpaka kesho ndo najuaga ndio nembo ya polisi
 
Back
Top Bottom