Land for sale at Moshi Kilimanjaro

Jenseny

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
1,743
1,737
heka saba zinauzwa Miwaleni Uchira metre 100 kutoka barabarani Moshi zinafaa kwa ujenzi wa shule zooo na recreation centre zna umeme maji na hati
bei @ heka moja ni sh 20 mill

0658825141
0621068486
 
Mkuu miwaleni ipi juu ya barabara ukitokea moshi au chini je naweza pata hapo heka mbili
 
Mmmmh mchaga hadi umeamua kuuza kiamba kweli hali tete.. sio kawaida kabisa!
 
Huko si ndiyo kwa wataalamu wa kusogeza mipaka?
Acha kabisa ndugu yangu..huko ukinunua shamba inabidi uingie gharama ya kulijengea uzio wa tofali kabla ya yote.

Maana ukisema upande miti jirani yako atalima mpaka mwisho wa siku utakuja kushangaa miti uliyopanda iko kwake..
 
ukinunua ukijenga hakun shida shida ni eneo kuwa wazi kwene seh iliyotengwa kuwa makazi ya watu yaani kama ubungo pale mtu awe na heka 10 alaf asiziendeleze
 
Back
Top Bottom