mkuu... wazo lako ni zuri...pale sheria husika ya hausing finance itakapokuwa enforced na kuanza kazi... kuna brokarage agents watakao deal na hizi real estate /housing businesses ambazo zitapata wanunuzi through bank finances and quarantees.... so never worry about it..jipange...though need to be smart kwa sababu ndio inaanza hapa kwetu.... ninahisi itavamiwa sana na wafanya biashara wa aina hii kutoka marekani amabao hii ni biashara ya kawaida na wana experience ya muda mrefu.... tutapigwa bao sana mkuu