unaweza kununua eneo popote pale...ukalisurvey...ukatengeneza master plan ya housing schemes..pamoja na infrastructure..... then ukaanza mradi wako...ukisubiri manispaa utaingia kwenye gharama kubwa sana.... miradi ya Satellite town za wizara ya ardhi...ina provisions kama hizo lakini it is dam expensive....example ni mradi wa Luguruni township
Mkuu nashukuru sana...Kwa maana ingine wizarani na manispaa kama kawaida ni mlolongo.
Nilifikiria kuwa manispaa au ardhi wizarani naweza kupata ardhi kwa bei nafuu kuliko niende kununua kwa watu binafsi.
Swali lingine ni je kuhusu umiliki....let us say nina kiwanja kikubwa na mmiliki ni mimi nikaamua kujenga nyumba kadhaa na kuziuza sasa inakuwaje katika mpango wa kumpatia kila mmojawao umiliki?
Mkulu Omuka nimeona kenya ma land developer wengi wanapouza nyumba bdo inabidi unawalipa charges sasa sijui kama Tanzania wana sheria gani ya kumlinda mnunuzi.
mkuu... wazo lako ni zuri...pale sheria husika ya hausing finance itakapokuwa enforced na kuanza kazi... kuna brokarage agents watakao deal na hizi real estate /housing businesses ambazo zitapata wanunuzi through bank finances and quarantees.... so never worry about it..jipange...though need to be smart kwa sababu ndio inaanza hapa kwetu.... ninahisi itavamiwa sana na wafanya biashara wa aina hii kutoka marekani amabao hii ni biashara ya kawaida na wana experience ya muda mrefu.... tutapigwa bao sana mkuu