Land cruiser ipi mjapani alitulia kati ya hizi

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
69,881
183,942
Habari wadau wa jf,

Nmekuwa nikiziona na kuzihusudu hizi gari tokea nimepata ufahamu wangu, leo nimeona nije kushare na wale wengine mnaozifahamu pia hizi gari ikiwa ni gari iliojizolea umaarufu sana hapa nchini na Africa kwa ujumla kutokana na umahiri wake. Zipo katika matoleo tofauti ila kwa hapa kuna LC 76 series, LC 78 series, LC 80 series, LC 100 series, LC 200 series ya mwaka 2008 na ya mwaka 2016.

Je, ni toleo lipi la cruiser ambalo mjapani alitulia zaidi kuanzia design, performance na ubora wadau?

LC 40 series.jpg

40 series

LC 5O series.jpg

50 series

LC 60 Series.jpg

60 series

LC 76 series.jpg

76 series

LC 78 series.jpg
78 series

LC 80 series.jpg

80 series

LC 100 series.jpg

100 series

LC 200 series 2008.jpg
200 series ya mwaka 2008

LC 200 series 2016.jpg

200 series ya mwaka 2016
 
LC 80 haichuji ina engine 1HZ na nyingine zimefungwa 1HDT cc 4200,fuel consumption nzuri... In short ndio gari ninayo ikubali hapo. Afu kwanini matoleo haya yanarandana na Lexus SUVs!?!?
 
LC 80 haichuji ina engine 1HZ na nyingine zimefungwa 1HDT cc 4200,fuel consumption nzuri... In short ndio gari ninayo ikubali hapo. Afu kwanini matoleo haya yanarandana na Lexus SUVs!?!?
Hio Cruiser 80 mi pia ndio naielewa mno hasa muungurumo wake tu, yani unaifeel kweli ni mashine. Ni kweli zinafanana na ufahamu wangu tu Lexus huwa zinaundwa kwa ajili ya soko la Uingereza na Marekani mkuu.
 
Gari ni 80series yani upate 1HZ au 1HDT ila I prefer 1HZ cause consumption ya mafuta ni ndogo na maintanance ni rahisi, Hizi Gari zinapiga shimo balaa halafu speed yake ni ya kawaida wala haiitaji mbwembwe.

Kwenye tambalale inatembea 120-130km/hr ikipata down inafika 160-180km/hr hii ni kwa 1HZ na 1HDT inafika 140-150km/hr-kwenye Tambalale na kwenye down unamaliza plus whisle ya ukweli toka kwenye Turbo.

So anayependa mbio sana na acceleration anaweza chagua 1HDT engine na ambaye hana comp na speed sana 1HZ is the best.

Hizo model sijaona ya kuifikia na ndio the best Landcruiser SUV of all time.
 
Tafta lx machopanzi

LX hajaweka sababu ni series ya Hard Top ambazo ni 70series,

LX ni same na hizo hard top nyingine sema LX ina 5Doors while hizo Hardtop nyingine ni 3Doors

Nyc one LX isthe best kwa 70 series
 
LX hajaweka sababu ni series ya Hard Top ambazo ni 70series,

LX ni same na hizo hard top nyingine sema LX ina 5Doors while hizo Hardtop nyingine ni 3Doors

Nyc one LX isthe best kwa 70 series
Izo n babkubwa uku chuga vfaru wengi wanazpenda sana..especialy wazee wa mererani unaambiwa ndo gari za pori izo.
 
Land cruiser ni land cruiser tuu..Hazi chuji..Ni kama Prado..
sory mkuu prado si ni land cruiser pia au
mana navyojua kuna
land cruiser prado
land cruiser VX nk

ila zenyewe zinaenda kwa seriez

toka enzi za toyota JEEP 'BJ'

mpaka ilipoanza seriez za j20 miaka ya 50 mpaka leo J200 humo mwote ndo utazikuta PRADO, VX, LX n.k
lakini pia Prado zipo tofaoti vivyo hivyo pia na VX na LX nk kutegemea na mwaka iliyotoka
me ni mmoja wa mpenzi hasa mpenzi wa CRUISER
 
Hio Cruiser 80 mi pia ndio naielewa mno hasa muungurumo wake tu, yani unaifeel kweli ni mashine. Ni kweli zinafanana na ufahamu wangu tu Lexus huwa zinaundwa kwa ajili ya soko la Uingereza na Marekani mkuu.
Nimekusoma mtaalam... Pia machine zake zinafungwa na kwenye coaster. Ni gari tamu hakika.
 
Back
Top Bottom