..surface dressing.. In layman's world ni aina ya utandazaji tabaka gumu la uji uji lami "bitumen" na kugundisha kokoto ndogo ndogo..namna ya utandazaji sasa ndio hapo wananchi tunashangazwa ila lengo ni barabara ipitike kipindi chote cha mwaka kwa urahisi.
Watanzania kama vitu hatuvijui tuwe tunauliza kwa ustaarabu kuliko mtu ana comment kwa kejeli kwenye kitu ambacho hana utalaamu nacho.
Hiyo lami mnayoiona hapo sio lami ya mwisho yaani kwamba baada ya hiyo lami kumwagwa basi traffic itaruhusiwa kupita.
Lengo la kumwaga hiyo lami ni
(1) kama huo udongo ulikuwa umechanganywa na cement basi hiyo lami humwagwa ili kuilinda hiyo layer isipigwe na jua moja kwa moja ili kutopoteza unyevu nyevu( moisture) ambao unahitaji na cement ili kutengeneza nguvu iliokusudiwa.
(2) Kazi nyingine ya hiyo lami ni kuilinda layer isiharibike yaani iwe tough na vile vile hiyo lami inasaidia kuweka bond kati layer inayokuja.
Kuna lami za aina nyingi na kila moja ina kazi yake, kwa hiyo sio kila unapo ona lami inamwagwa basi unajua barabara imeisha kumbe inakuwa bado hata layer tatu.

Ndo walipue?Si mmewapa wiki 2 wamalize barabara
Mnategemea nini tena!
Tulieni mkabidhiwe barabara
[emoji23][emoji23]
Ova
Ahsante sana mkuu.Watanzania kama vitu hatuvijui tuwe tunauliza kwa ustaarabu kuliko mtu ana comment kwa kejeli kwenye kitu ambacho hana utalaamu nacho.
Hiyo lami mnayoiona hapo sio lami ya mwisho yaani kwamba baada ya hiyo lami kumwagwa basi traffic itaruhusiwa kupita.
Lengo la kumwaga hiyo lami ni
(1) kama huo udongo ulikuwa umechanganywa na cement basi hiyo lami humwagwa ili kuilinda hiyo layer isipigwe na jua moja kwa moja ili kutopoteza unyevu nyevu( moisture) ambao unahitaji na cement ili kutengeneza nguvu iliokusudiwa.
(2) Kazi nyingine ya hiyo lami ni kuilinda layer isiharibike yaani iwe tough na vile vile hiyo lami inasaidia kuweka bond kati layer inayokuja.
Kuna lami za aina nyingi na kila moja ina kazi yake, kwa hiyo sio kila unapo ona lami inamwagwa basi unajua barabara imeisha kumbe inakuwa bado hata layer tatu.
Lea gani wakati hawajac himba na kijaza kifusi mbona tunaona huku Mbezi hadi kufikia hatua hiyo kuna leya kadhaa za udongo kulingana na soil profile ya eneo husika au na wewe fundi mchundoWatanzania kama vitu hatuvijui tuwe tunauliza kwa ustaarabu kuliko mtu ana comment kwa kejeli kwenye kitu ambacho hana utalaamu nacho.
Hiyo lami mnayoiona hapo sio lami ya mwisho yaani kwamba baada ya hiyo lami kumwagwa basi traffic itaruhusiwa kupita.
Lengo la kumwaga hiyo lami ni
(1) kama huo udongo ulikuwa umechanganywa na cement basi hiyo lami humwagwa ili kuilinda hiyo layer isipigwe na jua moja kwa moja ili kutopoteza unyevu nyevu( moisture) ambao unahitaji na cement ili kutengeneza nguvu iliokusudiwa.
(2) Kazi nyingine ya hiyo lami ni kuilinda layer isiharibike yaani iwe tough na vile vile hiyo lami inasaidia kuweka bond kati layer inayokuja.
Kuna lami za aina nyingi na kila moja ina kazi yake, kwa hiyo sio kila unapo ona lami inamwagwa basi unajua barabara imeisha kumbe inakuwa bado hata layer tatu.
Wakinyimwa tenda wanalalamikia eti serikali haiwajali wazawaWakandarasi wanafanya kazi masaa 24/7.View attachment 1765932
Hiyo ni Prime coat...Wakandarasi wanafanya kazi masaa 24/7.View attachment 1765932