Fukara
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,624
- 931
Jambo la msingi pigs chino chama chake this time.na ukabila muache mbwa nyie
Kuwa na akili ya kufikiria kabla ujaropoka utumbo wako,au unakichwa cha kufugia nywele tu..
Jambo la msingi pigs chino chama chake this time.na ukabila muache mbwa nyie
Kwanza historia ya lameck airo kabla haja wa mbunge mlikumbuka ni vitu gani alikuwa anafanya! Na aliupata ubunge lazima aendeleze rafu.
Ovaaa
Mimi miaka ya nyuma nishagumiana naye sana ana smuggle magendo toka kenya jamaa mafia sana nliposkiaga kaingia kwenye ubunge nikasema ayaaaaa watu wategeme maumivu tuNiliwahi kusikia tetesi kwamba alikua m..izi, kabla hajajiingiza kwenye biashara ya magendo na dhuluma huku akitokomea Kenya baada ya kufanya matukio kadhaa
Na vipi kuhusu maadili ya uongozi kujipatia tenda kwa kutumia nafasi yake ilhali akihusika moja kwa moja kwenye bodi ya uzabuni. Je hili unaliona kama ni wivu?
Mimi miaka ya nyuma nishagumiana naye sana ana smuggle magendo toka kenya jamaa mafia sana nliposkiaga kaingia kwenye ubunge nikasema ayaaaaa watu wategeme maumivu tu
Acha wajikune.Nakumbuka sana mlivyokua mkimsema Professor Sarungi kwamba hana uchungu na Rorya eti kwakua mkewe ni mzungu.
Bila shaka mtamkumbuka soon......
Mbunge wa Rorya, Lameck Airo akishirikiana na Namba tatu, Ochele, pamoja na Ongujo wamegeuza halmashauri ya Rorya kama shamba lao. Wanachukua tenda zote, kwa ajili ya makampuni yao. Lameck Airo amechukua tender ya kutengeneza barabara zote wilayani ambako magrader yake ndio inayofanya kazi za barabara bila kujificha. Aliyejaribu kuzungumzia hili swala alitishiwa maisha na Ongujo ambaye ni mshirika wa Lameck.
TAKUKURU na taasisi zingine ndani ya chama na serikali, hii ni ukiukwaji wa maadili ya utumishi. Iweje mbunge ajipe tender kwenye halmashauri?
Lameck na namba tatu wameiua CCM jimboni Rorya kutokana na tabia zao za kibabe. Katika vijiji karibia 52, CCM imeambulia vijiji viwili tu na CDM kuchukua nyingine. Matusi yao kwa wananchi imevuka mipaka. Kinana, chukueni hatua, vinginevyo hamna chenu Rorya. Chunguzeni hii ya Airo kujipa tender kwenye halmashauri.