King Jr
Member
- Jul 7, 2009
- 47
- 8
[h=5]Mtanzania, mkenya na Mganda walikamatwa na Bangi China. Wakapewa adhabu ya kwenda msituni na kurudi na matunda kumi. Mganda akarudi na ma-apple akaambiwa ameze mojamoja bila kutikisika..la kwanza tu akafumba macho. Wakamwua. Mkenya akarudi na Zambarau. Akawa anameza moja moja had la tisa akaangua kicheko akapgwa risasi. Wakiwa kuzimu Mganda kamuliza Mkenya. Mbona ulicheka wakat karibu unamaliza. Mkenya akajibu. Nilimwona Mtanzania anakuja na Matikiti maji! Done.[/h]