Lala chali iingie vizuri yaamsha majirani

Lala chali iingie vizuri yaamsha majirani

Nyumba za kupanga shida mtindo mmoja kuna siku nilimtembelea rafiki yangu anaishi uswahilini mitaa ya Mwananyamala asubuhi naamka nikakutana na foleni ya kuoga ?.Wakati bado natafakari namwona mama mwenye nyumba anakwenda msalani kashika kikopo cha maji chenye ujazo wa nusu lita.Nilika kwa muda siku mbili nikajionea burudani ya kutosha uswazi.

wewe unaishi wapi??
 
kuna jamaa huku kwetu alikuwta mkewe na mdogo wa jamaa ndani ya chumba chake wakati anajiandaa kugonga mlango akasikia "shemeji la tatu ilo" jamaa wakati anajiuliza nn kinatokea chumbani kwake mara akasikia tena "shemeji nipe mavi" jamaa kuskia vile akAvunja mlango kwa hasira akakuta mdogo ake na mkewe wamekaa mezani wanacheza karata ilikuwa bonge la xoo
 
Wakuu nikiwa na dem wangu tumetulia ndani, huyu dada ni anamatatizo ya macho, akanituma nikamnunulie dawa hizi za drops, wakati narudi sikufunga mlango.

Sasa kulikua na majirani wamekaa nje mida ya saa mbili hivi, nilivyoingia ndani nikamwambia kwa sauti lala chali iingie vizuri,nsasa majirani wakanyamaza kimya mala mmoja akalopoka jamaa anakula mzigo, mi sikuwajali.

Namuwekea hii dawa akaanza kulalamika uwi inauma kwa sauti, nikamwambia ngoja niweke ya mwisho, akajibu kwa upole haya, nikamuwekea kwenye jicho la pili, si akalalamika tena, haa kumbe majirani wamesogea mlangoni.

Kupiga chabo si nikatoka nikakutana nao uso kwa uso, wakati niko mlangoni dem wangu akasema kwa sauti, naomba usiitupe hiyo dawa utaniwekea na asubuhi, majirani kusikia hivyo si aibu ikawarudi mi nikabaki nacheka tuu.

Du! Nouma kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom