sijaona neno loading error......
mkuu sikujua kama watu wangefikiria hivyoTena una bahati... ungechelewa kidogo ungekuta WADAKU WA FICHUA MAOVU wametinga na camera zao!
kweli asseeeeUswahilin noma sana,yan hata ukitaka kuongea na cm some tym unajistukia labda wanawezakuwa wakufuatilia duh!
Mibado nachekaaa tu...
Mibado nachekaaa tu...
wapiga chabo wanakazi sana
Mnhhhhhhh...kuna mtu alisema anatamani kuishi uswazi...
Nyumba za kupanga shida mtindo mmoja kuna siku nilimtembelea rafiki yangu anaishi uswahilini mitaa ya Mwananyamala asubuhi naamka nikakutana na foleni ya kuoga ?.Wakati bado natafakari namwona mama mwenye nyumba anakwenda msalani kashika kikopo cha maji chenye ujazo wa nusu lita.Nilika kwa muda siku mbili nikajionea burudani ya kutosha uswazi.