jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Wakuu nikiwa na dem wangu tumetulia ndani, huyu dada ni anamatatizo ya macho, akanituma nikamnunulie dawa hizi za drops, wakati narudi sikufunga mlango.
Sasa kulikua na majirani wamekaa nje mida ya saa mbili hivi, nilivyoingia ndani nikamwambia kwa sauti lala chali iingie vizuri,nsasa majirani wakanyamaza kimya mala mmoja akalopoka jamaa anakula mzigo, mi sikuwajali.
Namuwekea hii dawa akaanza kulalamika uwi inauma kwa sauti, nikamwambia ngoja niweke ya mwisho, akajibu kwa upole haya, nikamuwekea kwenye jicho la pili, si akalalamika tena, haa kumbe majirani wamesogea mlangoni.
Kupiga chabo si nikatoka nikakutana nao uso kwa uso, wakati niko mlangoni dem wangu akasema kwa sauti, naomba usiitupe hiyo dawa utaniwekea na asubuhi, majirani kusikia hivyo si aibu ikawarudi mi nikabaki nacheka tuu.