Lakuchumpa

Lakuchumpa

mtu asiseme CCM wanahusika hapo, TZ hamna uniform za hivi
 
Inatua kisaikologia. Hadi chupi mitumba binadamu utakuwa na hadhi gani dunia hii?

Mkuu tatizo sio mitumba, tatizo hatuna viwanda vya kukidhi mahitaji ya watu wa daraja la kati, mtu anaona ni bora anunue mtumba unaodumu kuliko kununua mchina unaokaa siku chache na kupoteza ubora.
 
Back
Top Bottom