Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,164
- 13,551
Yangu
Yangu
Ana tabia gani kwani mkuu? Na unafanya jitihada gani usiwe kama yeye?Yangu
Tumesomeshwa na kulelewa na mama tu tangu darasa la kwanza hadi chuo kikuu(mimi na kaka yangu),nadhani mpaka hapo utakuwa umepata picha kamili. Kila kitu ni mama tu!Ana tabia gani kwani mkuu? Na unafanya jitihada gani usiwe kama yeye?
Kumbuka wahenga walisema, the apple doesn't fall far from the tree.
Sent using Jamii Forums mobile app