Tabasamu la mama lilibeba mengi mazuri na machungu aliyopitia maishani mwake. Lakini hakuondoka wala kudai talaka. Kila alifanya yote hayo Kwa ajili yenu nyie watoto Mentor.
Ni somo zuri sana, nashukuru kushare nasi, naomba Mungu anijalie tabasamu hilo.
Kwasababu hakukuwa na mitandao, kila zama na mambo yake.Ila wamama wa kizazi kipya wataweka kila kitu kwenye mtandao.
Ila mama zetu wa enzi zile waliweka moyoni mambo yao.
Baba yako mchaga nini, maana ktk sekta hiyo wako vizuri haswa!!Umenikumbusha sana mama yangu mkuu. Kwa mama tuko wanne ila kwa baba tuko 10. Mama is 68 now but she's still smiling. Bless you mama.

Baba yako mchaga nini, maana ktk sekta hiyo wako vizuri haswa!!![]()
![]()
![]()
mkuu baba sio mchaga. Sekta hii wapo nimewaona.Huwezi amini nilipitwa kabisa.... Thank you ma.Nilikuwa wapi sikusoma hii!!
Heaven Sent ulipita huku mama?
Of course madingi wengi wanazingua,eh Mungu naomba nisijekuwa na tabia kama za baba,amen!![]()