Isack inno B
Member
- Oct 28, 2012
- 97
- 51
Lake V fish monger tunawatelea dagaa za kukaanga, senene za kukaanga pia SAMAKI fresh wabichi directly from BUKOBA(ZIWA VICTORIA) bei zetu ni
1. Samaki kwa bei ya Reja reja kwa kilo ni sangara Tsh 8000 na sato Tsh 10,000
2. Samaki kwa bei ya Jumla kwa kilo sato ni Tshs 8500 na sangara ni Tsh 6800 (kuanzia kilo 100 na utaletewa ulipo kwa wakazi wa Dar au unaweza kufuata ofisini mwenyewe)
3. Dagaa za kukaanga 1000 pakti,
4. Senene zipo za bei 7000
karibu uje upate samaki wenye ubora ya hali ya juu, dagaa na senene za kukaanga zenye viungo kama vitunguu swaumu, pilipili, limao.
Maduka yetu yapo Kimara Tembon na mbagala zakhem mashine ya maji.
Tunatoa huduma ya kukuletea mzigo mpaka ulipo kwa wakaz wa Dar es salaam endapo utachukua kuanzia kilo KUMI.
Mazingira ni masafi na ya kuvutia. karibuni sana..kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:-
0628660132, 0718249862 na 0752714965..
KARIBUNI SANA.