Laizer Classic vs Abbah Process

Laizer Classic vs Abbah Process

Usimfananishe na uyo kiande anayecopy beat za watu daily!!!

Battle labda S2Kizzy Vs Abba na hata hii battle Nampa Abba....Abba anajua sana Ila sisi wabongo masikio yetu ni magumu kuelewa!!
 
Hvi unadhani Kati ya hawa maproducer wawili Laizer na Abbah Ni Nani ndo mkali wa kutengeneza beats?

Binafsi mi namkubali Abbah Process, huyu mwamba Ni hatari Sana yaani midundo yake Ni noma kupitiliza
Abbah yuko vizuri mkuu.
 
Usimfananishe na uyo kiande anayecopy beat za watu daily!!!

Battle labda S2Kizzy Vs Abba na hata hii battle Nampa Abba....Abba anajua sana Ila sisi wabongo masikio yetu ni magumu kuelewa!!
Kweli mkuu ata sasa bado abbah yuko vizuri kuliko s2kizz kinacho mbeba s2kizy nikufanya kolabo na wasanii wakubwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom