Laiti wananchi wangeisoma ripoti ya CAG mapema

mangaukawa

Senior Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
153
Reaction score
63
Iwapo wananchi wangepata fursa ya kuisoma ripoti ya CAG kuhusu uchunguzi wa Akaunti ya Escrow ya Tegeta kabla ya kumsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) alipowasilisha taarifa yake bungeni bila shaka wangegundua uongo wa wazi uliotolewa na kamati hiyo.

Rais Kikwete alitambua udhaifu wa taarifa ya PAC ndio maana aliagiza ripoti ya CAG isambazwe na kusomwa, kabla hata yeye hajafikia maamuzi. Na kwa hakika maamuzi na ufafanuzi wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba fedha iliyokuwa kwenye Akaunti ya Escrow ya Tegeta ni ya IPTL yamezingatia ripoti ya CAG.
 
Wewe kweli kichwa maji, na laiti JK asingenyofoa zile kurasa zinazohusu stanbic kabla kwenda kutumbuliwa ngiri hii nchi ingetikisika
 
Mbona anawaweka watu viporo? Mtoa mada kasome vizuri mwenyewe na nakusaidia kidogo alicho sema kikwete

Kikwete: "Pesa za Escrow Account hazikuwa za umma"
Halafu baadaye akasema "kulikuwa na kodi ya serikali ambayo haikulipwa na akasema tayari mamlaka ya mapato wameanza kufuatilia kodi zile na kuwa IPTL wameshakubali kulipa".
Sasa je! Kama hakukuwa na pesa ya umma, TRA wanadai hela ya nini na kwa ajili ya nani?:llama::llama:
 
wewe usiye kuwa na akili timamu subiri kesi ya kudai hela zaondiyo utaelewa. pesa zimeibwa kwa nini huelewi?? wahisani wamegoma kutoa misaada kwa sababu hiyo wewe unaleta pumba zako hapa.

Sidhani kama wewe umewahi hata kuiona hiyo ripoti ya CAG. Pia sidhani kama unaelewa maana ya Escrow Account. Wewe ni miongoni mwa walioingizwa choo cha kike na Zitto na timu yake. Kutafuta umaarufu sasa kunawatokea puani wahuni hawa.
 
Mbona anawaweka watu viporo? Mtoa mada kasome vizuri mwenyewe na nakusaidia kidogo alicho sema kikwete

Kikwete: "Pesa za Escrow Account hazikuwa za umma"
Halafu baadaye akasema "kulikuwa na kodi ya serikali ambayo haikulipwa na akasema tayari mamlaka ya mapato wameanza kufuatilia kodi zile na kuwa IPTL wameshakubali kulipa".
Sasa je! Kama hakukuwa na pesa ya umma, TRA wanadai hela ya nini na kwa ajili ya nani?:llama::llama:

Kumbe ulisikia vizuri kwamba pesa zile hazikuwa za umma! Sasa tatizo liko wapi? Hiyo ndio hoja ya msingi. Na kama ni hivyo, kwa nini Zitto na malimbukeni wenzake wanaendelea kudai kuwa zilikuwa za umma? Hayo ndio maswali ya kujiuliza.
 
wewe usiye kuwa na akili timamu subiri kesi ya kudai hela zaondiyo utaelewa. pesa zimeibwa kwa nini huelewi?? wahisani wamegoma kutoa misaada kwa sababu hiyo wewe unaleta pumba zako hapa.

Wahisani wameshaanza kutoa wewe uko wapi?tandale au kwa tumbo?
 
wewe usiye kuwa na akili timamu subiri kesi ya kudai hela zaondiyo utaelewa. pesa zimeibwa kwa nini huelewi?? wahisani wamegoma kutoa misaada kwa sababu hiyo wewe unaleta pumba zako hapa.

Hakika wewe hujui lolote. Mbona mwenye pesa zake, IPTL hajasema zimeibiwa? Au akilin yako ni ya kukariri tu porojo za kina Zitto?
 
Wewe kweli kichwa maji, na laiti JK asingenyofoa zile kurasa zinazohusu stanbic kabla kwenda kutumbuliwa ngiri hii ncji ingetikisika

Mkuu punguza unene mawazo yako na hilo tumbo lako kubwa unaongea utumbo tu
 
Mbona anawaweka watu viporo? Mtoa mada kasome vizuri mwenyewe na nakusaidia kidogo alicho sema kikwete

Kikwete: "Pesa za Escrow Account hazikuwa za umma"
Halafu baadaye akasema "kulikuwa na kodi ya serikali ambayo haikulipwa na akasema tayari mamlaka ya mapato wameanza kufuatilia kodi zile na kuwa IPTL wameshakubali kulipa".
Sasa je! Kama hakukuwa na pesa ya umma, TRA wanadai hela ya nini na kwa ajili ya nani?:llama::llama:

Tatizo mlilo nalo wengi wenu ni uvivu wa kusoma. Lakini pia inasikitisha kushindwa hata kusikiliza mkaelewa! Kuwepo kwa kodi ni jambo tofauti ambalo halileti maana ya fedha kuibiwa. Utaratibu wa kulipa kodi ni jambo tofauti kabisa na ni jambo endelevu. TRA wanapaswa kudai hiyo kodi. Tatizo la uongo na uzushi wa PAC lipo wazi kwani wao walidai pesa iliyoibiwa ni ile ambayo haikuwemo kwenye Escrow Account lakini wameliaminisha taifa kwa kutumia tarakimu kubwa za uongo. IPTL/PAP hawawezi kuiba fedha zao. Licha ya hivyo, tofauti kati ya fedha ya kodi na ile pesa waliyoisamehe TANESCO ni kubwa mno. Inaelekea wengi mlioaminishwa uzushi wa PAC hata hesabu ya kujumlisha na kutoa, hamuijui.
 
Siri imeshafichuka. Nimrod Mkono na Mengi ndio wafadhili wakubwa wa kinachoitwa kashfa ya Escrow. Wote wawili wameathiriwa na msimamo wa Prof. Muhongo. Wakati Mkono alitimuliwa kama wakili aliyekuwa anaiibia Tanesco kwa kudai legal fees kubwa kupita kiasi huku akitaka kesi ziendelee ili aendelee kuchota pesa, Mengi alibabuliwa vibaya na Prof. Muhongo kwenye mdahalo pale Nkrumah Hall. Taarifa za kiintelijensia zinaonyesha hadi kiwango cha pesa walizotoa mafisadi hawa kwa kina Zitto, Kafulika na Ole Sendeka.
 
Mkuu punguza unene mawazo yako na hilo tumbo lako kubwa unaongea utumbo tu

Wewe Kweli mata.ko, akili zako zipo mkund.uni, aliyeongea pumba jk, eti mtu anamakosa kimaadili alafu unamuomba akupishe badala ya kumshtaki,

"kazi kucheka cheka tuu"
 
Tatizo mlilo nalo wengi wenu ni uvivu wa kusoma. Lakini pia inasikitisha kushindwa hata kusikiliza mkaelewa! Kuwepo kwa kodi ni jambo tofauti ambalo halileti maana ya fedha kuibiwa. Utaratibu wa kulipa kodi ni jambo tofauti kabisa na ni jambo endelevu. TRA wanapaswa kudai hiyo kodi. Tatizo la uongo na uzushi wa PAC lipo wazi kwani wao walidai pesa iliyoibiwa ni ile ambayo haikuwemo kwenye Escrow Account lakini wameliaminisha taifa kwa kutumia tarakimu kubwa za uongo. IPTL/PAP hawawezi kuiba fedha zao. Licha ya hivyo, tofauti kati ya fedha ya kodi na ile pesa waliyoisamehe TANESCO ni kubwa mno. Inaelekea wengi mlioaminishwa uzushi wa PAC hata hesabu ya kujumlisha na kutoa, hamuijui.

Mkuu upo sahihi kabisa. Wengi wanadandia tu hoja kama wendawazimu, bila kuelewa wanachojadili. Ukisoma na kusikiliza kwa makini hoja na facts zilizokwishatolewa ndio utagundua uhuni na uchochezi wa Zitto na kundi lake. Someni jamani.
 
Kwa mara nyingine nimegundua werevu wa JK. Aliwaambia Watanzania waisome ripoti ya CAG kabla hajatamka lolote. Lakini badala ya kusoma watu wanaimba suala la wizi au uchotaji wa fedha kutoka akaunti ya escrow. Wametoa wapi taarifa hizo? Upotoshaji huu unaweza kuipeleka nchi kubaya.
 
Wewe Kweli mata.ko, akili zako zipo mkund.uni, aliyeongea pumba jk, eti mtu anamakosa kimaadili alafu unamuomba akupishe badala ya kumshtaki,

"kazi kucheka cheka tuu"

Ni kawaida ya watu wasio na kitu kichwani kukimbilia matusi. Njoo na hoja hapa tukuchape.
 
Kwa elimu gani waliyonayo? Gazeti peke yake nzonzo kulisoma na kulimaliza leo taarifa kubwa kamahiyo .
Watanzania niwakuonea huruma tu . Unaweza kuwafanya utakavyo !!!!!.maisha bora amani uandilifu .
 
Back
Top Bottom