God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
assessments zinafanywa kwa wote but nachotaka ni usinifuate kama bado hujanifanyia assessments
we unazingua kweli ,kazi yote hyo ya nini au hamjijui kama mda mwngne huwa mnaigiza sanah?? kwanza wewe ndo mwenye kazi hyo ya kufanya assessment koz wewe ndye unayetongozwa.namaanisha fanya assessments za kutosha ukishajiridhisha kua utamuweza huyo binti na weakness zake ndio umfuate sasa, sio kukurupuka halafu baada ya siku mbili unamtema mara anapenda pesa mara ana tabia mbaya.
Habari zenu wakuu,
Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.
Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.
Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.
Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.
Please badilikeni kaka zangu
izaaaaaa, ulaileyaaani
Tabia ya mwanaume ni tofauti na ya mwanamke.huo muda wa kufanya assessment huku kidudu kimesimama unadhani rahisi? Jaribu kuwa mwanaume Kama utaweza
najivunia sana tena sana. Swali langu kwanini unifuate wakati hujafanya maamuzi sahihi. Jipime nipime ndio unifuate na sio kufanya maamuzi ya harakaharaka kunifuata
Habari zenu wakuu,
Kwa kawaida mwanaume ndie msemaji wa kwanza na mwanzisha mahusiano. Sasa sijui kwanini hua mnakurupuka kuanzisha mahusiano bila kufanya assessments za kutosha mwisho wa siku pande zote mbili ni kilio.
Hii ni ya kidunia zaidi, ukija kiroho zaidi wote mwanaume na mwanamke anapaswa kumwomba sana mungu ili amlocate kwa right partner but all in all mwanaume anapaswa kumtafuta mungu zaidi juu ya hili jambo.
Ningekua mwanaume nisingefanya maamuzi ya haraka haraka kuanzisha mahusiano without kumconsult mungu first, then ningefanya assessments nyingine nyingi halafu nikishaanzisha uhusiano ningempenda sana tena sana mwanamke na kumheshimu.
Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi mwanzo.
Please badilikeni kaka zangu
Assessment inaweza kukupa wrong results, hivyo ni bora Trial and Error.
Tatizo ni sisiem ndio imeleta haya yote
Haifai kwa matumizi ya binadamu hiyo pombe uliyokunywa.