Laiti ningekua mwanaume...

ni kweli kila mtu ana tabia yake ndio maana tunatakiwa kufanya assessments, je kwa tabia hizi nitaweza kumvumilia?

hakuna asiye weza kubadilika! ww ndio wa kumfanya unavyotaka awe unavyotaka!
 

Upo sawa kwa kiasi kikubwa mpendwa, Mungu akuzidishie hekima kuwashauri na wengine.
 
Amina mama mchungaji...
Yaaani umeongea kikungwi



 
Last edited by a moderator:
And they wonder how I got a thing for you, smh! Who wouldn't?! It's high time you met my kin-folks, and soon have my name in yours.
It's every imperfect girl's dream to have her other half like you. Can't thank heavens enough for this eternal favor of being your girl.. The heavens has truly blessed me with you darlin[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
ungekua mwanaume ungekua shoga hahahahahahhahahahahahhahhahahahahahaha😎
 
OMG am in love with JF loooool wanaume tunapitia kwenye majaribu hebu fikiri tunaishi maisha kama vile wafika kwenye bufee vyakula ni vingi alaf vyote ni vizuri loooooooool mostly tunadata kwenye kuchagua aisee kuwa mwanaume ni kaz acha kabisa kubeba KICHINJIO sio thamana ndogo ..........
 
And they wonder how I got a thing for you, smh! Who wouldn't?! It's high time you met my kin-folks, and soon have my name in yours.
It's every imperfect girl's dream to have her other half like you. Can't thank heavens enough for this eternal favor of being your girl.. The heavens has truly blessed me with you darlin[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Nyie ni wapenzi? Mbona kama mnatongozana vile?? Mshafanyiana assessment za kutosha each other?
 
kwa kipi labda cha zaidi mpaka nihangaike hivyo, wanawake wenyewe nyie mnaotaka haki Sawa au kuna wengine wamezaliwa
 
"Kwa kufanya hizi kusingekua na majanga ya kuumizana kama ilivyo sasa. Kila binti ninayekutana nae kaumizwa kisa mwanaume hakufanya maamuzi sahihi"

mleta mada unamaanisha nini hapo.
 

Mnanso, mpola mamtoto!
 
Kitu ambacho inabidi uelewe ni kwamba ninyi wanawake tunawaona wa ajabu pia. Mkipendwa sana na mtu akawajali huwa hamna appreciation. Unaweza kuta mnaaza vizuri na mwanamke na akishazoea treatment yako nzuri unayompa hata heshima inapungua na kupitiliza. Hii hupelekea wanaume kukata tamaa na kuwatema. Hili tatizo liko kwa wanawake wengi labda niseme 9 kati ya 10. Wanaume ambao wamekuwa wakatili ndio wanadumu kwenye ndoa. Mi hapo huwa inanishangaza kwamba labda hiyo ndo njia ya kukaa ma mke.
 
 
Last edited by a moderator:
Humjui mwanaume... Ungemjua usingegeneralize
 
kama kuna mtu anayetakiwa kufanya utafiti wa kina kabla ya kuingia kwenye mahusiano basi ni mwanamke.....
mwanaume ye hata akikosea kuchagua anaweza kuvumilia....ila mwanamke ni shughuli pevu
 
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…