Laiti ningekua mwanaume...

Laiti ningekua mwanaume...

Jivunie jinsia yako, mambo uliyoyaongelea ni ya kiimla zaidi. Kwani na wewe kwa jinsia yako unatakiwa umtathimini kwa kina yule anayekuzengea. Ukifanya maamzi kwa pupa ndio kama hivyo, lawama kwetu sisi kaka zako!.
 
Mjomba dyudyu akishajinyoosha akuna assesment apo.
 
Hebu sikiliza huu wimbo na maneno yake, from beyonce.



And wishes ain't no horses. Concentrate kwenye kuwa mwanamke bora mwenye ethics
 
Last edited by a moderator:
MNANSO

kwa akili yako hata kama ungekuwa mwa naume ungesema ningekuwa mwanamke
Pole dada
 
Last edited by a moderator:
najivunia sana tena sana. Swali langu kwanini unifuate wakati hujafanya maamuzi sahihi. Jipime nipime ndio unifuate na sio kufanya maamuzi ya harakaharaka kunifuata

Ntakupima baada ya kuku....
 
Tabia ya mwanaume ni tofauti na ya mwanamke.huo muda wa kufanya assessment huku kidudu kimesimama unadhani rahisi? Jaribu kuwa mwanaume Kama utaweza

hhahahahaha umeongea point mkuu angekuwa mwanaume angejuwa kidudu kikisimama hakina subira ndiyo mana unaweza kukuta hadi umemgegeda changu baadaye ndiyo unaanza kujuta
 
Tabia ya mwanaume ni tofauti na ya mwanamke.huo muda wa kufanya assessment huku kidudu kimesimama unadhani rahisi? Jaribu kuwa mwanaume Kama utaweza

dawa itamuingia tu! ni muulize! wajibu wa kila mmoja kwenye mahusiano ni kumbadilisha mwenzie tabia na mienendo coz wote mnakutana hamfahamiani!? mf umenunua gari utakuta kuna vitu unavirekebisha hata kama gari ni mpya ili liwe unavyo taka! mara mziki utau change mara vioo tinted mara rims, spoilers, sportlight mpaka utakapoona limekuridhisha au vp, ss leo umekuwa approached na ww umekurupuka kukubali kulingana na vigezo ambavyo ni kiini macho kwako unategemea nn kinafuata! KILIMO KWANZA, KILIMO NDIO UTI WA MGONGO?
 
ukimchukuza bata sana huwezi kumla so mie nakutongoza ukikubali nakugegeda basi hamna haja ya kuchunguzana
 
hapo ulipo una mtazamo wa kike ,mfumo unaoendesha akili yako ni wa kike ,hushangai kwanini wanaume weng hawawazi hvyo? au unafikiri wamekosewa kuumbwa? sasa ungekua mwanaume ndo ungekua bonge la mshenzi.

nakuunga mkono mkuu angekua mwanaume angeelewa tuuu mwana saikolojia mmoja anasema,"men are attracted by seeing as well women are attracted by hearing"
 
Dushe likichaji,huku wewe umekaa guu pande na papuchi limetuna mhhh! Akili yote huhamia chini. Sehemu kubwa ya mzunguko wa damu huelekea kwa dushe ili azidi kusimamia show,kichwani ni kizunguzungu tu,na wewe mwenyewe umeshika mic ukishuka mistari. Eti nianze kufikiri kwenye mazingira hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom