Laiti Gwajima na Rais Samia wangenyamaza

View attachment 3352986
Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani.

Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa ubunge, siyo saizi ya Samia ambaye si Mwenyekiti tu bali Rais wa Jamhuri.

Pili, Gwajima alitaka kujipendekeza akaishia kujiteketeza kwenye chama kilichomvumilia kwa biashara yake ya kitapeli ya kiroho.

Tatu, ni rahisi kujua kuwa CCM itapata kazi kubwa kumshughulikia Gwajima ingawa nina uhakika watamshughulikia.
Nne, badala ya kuvuana nguo, wangeshughulikia tatizo la utekaji na ukamataji wapinzani na kuwabambnikizia kesi.
Tano, kwanini Gwajima kaona hili tatizo karibu na uchaguzi wakati lilianza wakati wa Magufuli aliyemtengeneza Gwajima kama alivyodai mbunge na msukuma mwenzake Kasheku Msukuma?
Sita, je Gwajima ana udhu wa kuaminika hata kuheshimika wakati alikuwa ndani ya chama kile kile anachokizodoa kwa kushindwa kusitisha utekaji?
Mbona. hajaongelea ufisadi na ugaidi vya kutisha ambavyo naye ni mshirika na mnufaika?
Tulia PONJORO wewe
 
Kwenye haya naelezo tako umejikita kumchamba zaidi Gwajima kuliko huyo Bibi yako Hadija Kopa! Bila shaka na wewe ni wale wale tu. Maponjoro msio jielewa.
 
View attachment 3352986
Siyo siri wala uvumi tena. CCM sasa iko msambweni tokana na matamko ya makada wake wawili Mwenyekiti Samia Suluhu Hassan na Mnec Josephat Gwajima. Laiti wawili hawa wangenyamaza badala ya kuanika nguo zao za ndani hadharani.

Kwanza, Gwajima kama. mtu aliyetolewa jalalani na Magufuli na kumpa ubunge, siyo saizi ya Samia ambaye si Mwenyekiti tu bali Rais wa Jamhuri.

Pili, Gwajima alitaka kujipendekeza akaishia kujiteketeza kwenye chama kilichomvumilia kwa biashara yake ya kitapeli ya kiroho.

Tatu, ni rahisi kujua kuwa CCM itapata kazi kubwa kumshughulikia Gwajima ingawa nina uhakika watamshughulikia.
Nne, badala ya kuvuana nguo, wangeshughulikia tatizo la utekaji na ukamataji wapinzani na kuwabambnikizia kesi.
Tano, kwanini Gwajima kaona hili tatizo karibu na uchaguzi wakati lilianza wakati wa Magufuli aliyemtengeneza Gwajima kama alivyodai mbunge na msukuma mwenzake Kasheku Msukuma?
Sita, je Gwajima ana udhu wa kuaminika hata kuheshimika wakati alikuwa ndani ya chama kile kile anachokizodoa kwa kushindwa kusitisha utekaji?
Mbona. hajaongelea ufisadi na ugaidi vya kutisha ambavyo naye ni mshirika na mnufaika?

Ibada ya kweli ya kumtukuza Mungu ni ile ambayo inakemea Uovu na kutukuza HAKI na AMANI kwa Watu wote.

Vitendo vya uhalifu mbaya wa kuteka watu, kuwatesa, kuwabaka, kuwalawiti, kuwajeruhi kwa namna mbalimbali ikiwemo na kuwamwagia tindikali, kuwashambulia kimwili na kihisia, kuwekea sumu, na kuua ni vitendo vya UOVU MBAYA WA SHETANI. Yeyote yule anayetenda vitendo hivi au kuunga mkono vitendo hivi viovu, huyo ndiye SHETANI mwenyewe.
Kutenda au kuunga mkono vitendo hivi Viovu ni kufanya Ibada ya Kumtukuza Shetani, na kupinga Vitendo hivi Viovu ni kufanya Ibada ya Kumtukuza Mungu.

Kati ya hawa Watu wawili ambao umewahusisha kwenye hili bandiko lako, Je, Nani atakuwa ni SHETANI na nani atakuwa ni Malaika wa Mungu kwa jinsi unavyowaona wewe Kutokana na matendo yao hao Watu??
 
Back
Top Bottom