Laini ya safari in inauzwa

Laini ya safari in inauzwa

Loooh! Kumbe zinauzwa ghali hivyo! Au ndio zimepanda na mafuta [emoji134][emoji134]
Yangu nilinunua buku.
Kibongo bongo nadhani unapata line bire kabisa, wewe ni kununua voucher na usajiri basi
 
Kaaa mkijua mwezi wa tisa zile zilizpsajiliwa kwa majina ya watu kuna hatari ya kufungiwa
 
sie tunazungumzia safaricom sasa kumbe haya ya nida wayafunge tu
Kwani mimi nazungumzia nini, nazungumzia hao hao safaricom nao wanasema watu wakaverify line walizosajili kufikia sept zitafungwa
 
Kwani mimi nazungumzia nini, nazungumzia hao hao safaricom nao wanasema watu wakaverify line walizosajili kufikia sept zitafungwa
oooh kumbe, ngoja nusubiri Sept ipite Kwanza.
 
Back
Top Bottom