Laini mpya za TTCL


Kawaida signal selection generation za simu inategemea na coverage...km eneo ulipo kuna 2g basi utaona Edge(E),km ni 3G au 4G itakuonyesha kwakua upo unatembea hivyo signal channels nazo zinahama pia.hivyo either eneo ulipo kuna less 4G coverage kuliko 3G and 2g.
 
Bei gan bro hzo lain
 
Rudi nyumbani kumenoga
 
Mbona Niko home hata hakujanoga
Kama umesoma vizuri alichopost mtoa mada na hicho kimsemo chao nilichopost, ulipaswa uelewe nini nilichomaanisha. Kama umeshindwa kuelewa kitu kidogo namna hiyo samahani ndugu yangu nahisi Mimi na wewe tupo kwenye wavelength tofauti.
 
inaonyesha hapo ulipo TTCL haikamati vizuri sasa chakufanya washa hiyo roaming speed itakuwa poa kama tigo hapo ulipo inakamata
maana ttcl wanaroaming kwenye mtandao wa tigo hapa nilipo Ttcl haikamati ila na roaming na net ina speed
well said mkuu...
 
Sio kweli mkuu 4G iko karibia mikoa yote Arusha, moshi, kahama, shinyanga, bukombe na kwingineko Tanzania. Kuna baadhi ya maeneo hawapati 4G hasa nje sana ya mji na vijijini. Ukisema 4G iko dar pekee unadanganya watu.
NO RESEARCH NO RIGHT TO SPE
AK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…