Mr.laravel
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 471
- 514
Taarifa zenyewe za list tumeishia kuiona kwa Makonda.Kwa hapa kwetu tutaishinda hii vita manake bado ma Don hawaja invest sana kwenye majeshi yao.
TUTASHINDA
Naomba nikujibu kwa hoja hiziAlafu sisi watanzania tuna mambo ya ajabu sana, kila kukicha tunajitahidi kuleta taarifa za kutishia kila anayeonesha dhamira ya kutaka kujaribu kupingana na madawa ya kulevya, tunavunjana moyo sana watanzania.
Kila kinachofanyika linaibuka tabaka la watu kudai hicho sio, flani anaonewa.
Utasikia kuna siasa ndani yake.
Ivi jamani tunataka nini hasa?
Mnatishia kuhusu ukubwa wa mtandao, mnatishia kuhusu gharama, eti mnajilinganisha na nchi ya Marekani katika ishu ya madawa ya kulevya huu ni utoto Mkubwa.
Sisi hata iweje biashara za madawa ya kulevya hapa kwetu haziwezi kufikia hata nusu ya kiwango cha madawa ya kulevya huko USA.
Kwa sasa kila anayeonekana kuunga mkono kinachoendelea kuhusu dawa za kulevya utasikia ni ccm huyo!
Sio kila mtu ni mwanasiasa, kuna watu hata habari za siasa hawataki kuzisikia hata vitambulisho vya kupigia kura walishagoma kujiandikisha.
Wapinzani nao wanaamini kazi yao ni kupinga kila kinachofanywa na serikali.
Hakika majeshi yao hayaonekani kwa macho,huwatumia hawahawa askari wetu...lakini bado nina imani kubwa na nidhamu ya majeshi yetu kulinganisha na kwingine.Taarifa zenyewe za list tumeishia kuiona kwa Makonda.
Madawa yenyewe yanayoingizwa nchini usikute yanayokamatwa ni 10% ya yote yanayoingizwa.
So hakuna mwenye uhakika wa kama hao maDon wameinvest vya kutosha hapa nchini kwenye hayo majeshi Yao.
Ukiweka imani kwao na kuwaamini mia mia kwenye ishu ya mmadawa subiria mastaajabu. Hii vita yafaa kutilia shaka kila mmoja na kufanya uchunguzi wa kina kwa kila alotiliwa shaka kabla ya haya maigizo ya tvHakika majeshi yao hayaonekani kwa macho,huwatumia hawahawa askari wetu...lakini bado nina imani kubwa na nidhamu ya majeshi yetu kulinganisha na kwingine.
Yote Yale Yale tu vitengo vingapi vinaishia mitini tena bila taarifa wala kauli yeyoteHii vita ya mkuu wa mkoa sidhani km itakuwa endelevu ingawa amefanya jambo jema
Nadhani angeunda kitengo maalum kushughulikia hili suala kwa muda mrefu
Mtoto wa. .....Hakuna anayeweza, wala atakayeweza kuitokomeza biashara hii hawa watu ni hatari ulipo wapo.
Na muda utaongea atakaa kimya muda si mrefu.
Asitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzake hali ya kuwa kwake kuna boriti.
Kwa sababu yake pia watu wanayajua. Kama ni mkweli hasa amtaje mtoto wa....