Lady Jaydee Wataje tu Hadharani.....!

Lady Jaydee Wataje tu Hadharani.....!

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,053
Komandoo, Anaconda, Lady Jadee
Ebu kionee huruma kizazi cha vijana wanaoangamia kwa biashara ya hao jamaa unaowajua kwa majina na tena una ushahidi wao,
Tuonee huruma wazazi tunaoharibikiwa na watoto, ndugu na jamaa na kila siku hatuishi kukanyaga mochwari na makabulini kuzika,
Onnyesha upendo na uzalendo kwa Taifa lako kwa kushiriki kukiokoa kizazi cha vijana ambalo ni Taifa la leo na kesho,

Wataje hadharani kwa majina na ushahidi hao jamaa na biashara yao!
1005925_10151753293688069_2132329665_n.jpg

Ningetamani wanishtaki na mie kwa kuwauliza Clouds Group nini kiliwasukuma haraka sana "kununua" msiba na habari zote za msiba wa Ngwair? Kwa nini walikuwa wepesi kiasi kile kutafuta tiketi ya Miliard Ayo ili kuhakikisha anawahi kule na wao ndo wanakuwa chujio na pipe la habari zote kutoka RSA kuja Tz juu ya msiba, postmortem na usafirishaji wa maiti? Na mwisho "kazi au majukumu" yao yalimfanya nini Jide cha kumsababishia kushindwa kutimiza majukumu yake ya kijinsia?

JIDE1.png

 
Back
Top Bottom