Kwa taarifa yako Jide ana hisa nyingi ndani ya E fm.Lady Jaydee rasmi E. fm atakuwa mtangazaji mahiri anarudi kwa kasi hawa E. fm wamedhamiria kuleta mapinduz halisi
KumbeKwa taarifa yako jide ana hisa nyingi ndani ya efm.
Hilo ni kanisa gani?hisa ngapi
Stori za vijiwe vya kahawa ...Kwa taarifa yako jide ana hisa nyingi ndani ya efm.
Kanisani wanasali hawa swali.unataka uje kuswali nn mkuu