Lady jaydee kawachota watu??

Lady jaydee kawachota watu??

Mimi huyo nilishamstukia mapema sana.

Nadhani kaamua kutengeneza bifu na Clouds ili auze album yake ya 'Nothing But the Truth'.

Kesho asubuhi atakuwa Times FM kwenye kipindi cha Sunrise (kama sijakosea) kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwemo hilo la bifu na Clouds.

Unakumbuka bifu la Kanye West na 50 Cent back in 2007? Jamaa wali-top Billboard 200 na waliuza vizuri sana katika wiki ya kwanza.

Hii concert yake ikiisha utasikia wanapatanishwa na Ruge
na wale wanaoshabikia hii beef utashangaa wamebaki wenyewe
kama vinega wa Sugu lol
 
Uwezekano wa kupatanishwa upo...ila sio rahisi...sijawaona wenye busara......Mkuu THE BOSS....hii biashara kwa hapa bongo ni ngumu saana........hawa jamaa wamebana kila kona........kama sio mjanja (wanamuziki) baada ya kupotezwa utaishia kuuza Gongo tu..........yawezekana kafanya kaujanja..........lakini siamini hivyo....binafsi naona jamaa walibana....kumbuka angekuwa nayo shughuli yake...........ingenganganiwa na makampuni ya simu....vinjwaji..nk....naona kila alipobisha hodi akakuja hawa wandugu wameshamwaga sumu...ndio na yeye alihamua kumwaga mboga hadharani....

.........Hii ngoma ni zaidi ya tuijuavyo...jamaa wamebana kweli kweli.................sector ya mziki \Bongo imeingiliwa wanayoiendesha na kuitawala.........hawajui hata kupiga gitaa.......lakini ndio wanaonufaika......ukienda Uganda au hata Kenya............. kama unakipaji.........ni rahisi kupata mkataba mnono na makampuni makubwa kama ya simu nk.....ukija hapa kwetu hata kama unakipaji kama huwajui ...hao...wakina Don Runge na wenzake.hufiki popote

Ni kweli.....wanamuziki wa bongo wanamatatizo yao...kama kutokujua LUGHA.......kuendekeza starehe....bangi...madawa ya kulevya.....kukosa elimu ya maisha nk....hii sio sababu ya wachache watumie mapungufu yao ili kujinufaisha

Huyu dada pamoja na SUGU nawachukulia kati ya jamii ndogo ya wanamuziki walioamka na...kujitambua.....na kueleza uma yaliyo moyoni................kwanini RUGE na KUSAGA tu walalamikiwe?????????????
 
Asante kwa kuchangia
ni hivi nijuavyo mimi ili kuwashinda kina Ruge na Kusaga ni lazima msanii au wasanii
wawe wale ambao ni top kwa wakati huo
sio msanii ambae amesha chuja au kuanza kuchuja

Kwa miaka kumi angeweza fight better labda five years ago sio now
ndo maana Ruge kamjibu kwa nyodo mno
but angekuwa ni Diamond ndio anawatangazia vita ungeona panic ya kina Ruge...

Jaydee angeweza then kuliko now ingawa tusubiri tuone
hata Sugu kilichomfanya asiweze sana ni hilo
hayuko kwenye peak......but mtu kama Diamond leo anaweza pata wadhamini bila kupitia kwa Ruge
 
Mkuu umenene vyema

Kumbuka mtu kama Diamond hawezi kwa sasa kwa sababu anapata vijipesa....kitu ambacho najua anacholipwa sio stahiki yake...(kukosa elimu na kushindwa kusoma alama za nyakati)

Kwa huyu dada nahisi kikubwa ni ......frustrations.......na ukiangalia yale maelezo yake yaelekea jamaa walikuwa wameshaanza ......sabotage.... shughuli yake.....kila alipowagongea hodi wadhamini walimbania...hisia zangu...alipojna hivyo ndo akahamua kulipuka....na kwakufanya hivyo........watu wanamuonea huruma...ndo maana ticket zinanunulika

na kwa jinsi hali ilivyo wasanii TZ hata Yesu arudi hawawezi ungana wapiganie haki zao....watakuja na kuondoka...kwa ushauri tu....wanatakiwa kipindi wako kileleni...wahakikishe wanawekeza hasa...na sio kwenye music....biashhara ambazo ni tofauti na mziki kwa kufanya hivyo akichuja atapata pa kukimbilia............kwani sio serekali inaweza wachomoa kwenye Mikono ya hao ma don

Kama ambavyo Diamond hawezi kujiunga na wenzie leo
na Jaydee hivyo hivyo five to ten years ago
anawajua wenzie walio anza kupambana toka enzi hizo na yeye aliuchuna sababu alikuwa haathiriki kihivyo
until now
 
Naona juhudi za mawakala wa Ruge/Kusaga kumsagia Jd.Jamani si mumuache nyie endeleeni kujipendekeza kwa dola huko Dodoma si ndo zenu.Msisahau kuandaa Birthday tena mwaka huu ya mkuu pengine mtapata studio nyingine etc.JD jeshi la mtu mmoja! Chukua Tano
 
Uko dunia gani wewe? Sam Machozi alisharudi kwa Jide, tena kwa kubembelezewa sana na mama yake. Issue nzima ilioneshwa EATV

Nyinyi ndio Wakurupukaji! Sio kila threed lzm Uchangie Aliyekwambia Sam Machozi karudi Machozi band nani? Hivi Mnafuatilia muziki? Haya mambo mnashinda kwenye Madraft huko mkisikia flani wamegombana ndo mnakurupuka muache! Kwa kukusaidia Aliyerudi Machozi band anaitwa MWINYI.... Ungekuwa krb hapa ningekusindikiza na kofi.
 
Mimi huyo nilishamstukia mapema sana.

Nadhani kaamua kutengeneza bifu na Clouds ili auze album yake ya 'Nothing But the Truth'.

Kesho asubuhi atakuwa Times FM kwenye kipindi cha Sunrise (kama sijakosea) kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwemo hilo la bifu na Clouds.

Unakumbuka bifu la Kanye West na 50 Cent back in 2007? Jamaa wali-top Billboard 200 na waliuza vizuri sana katika wiki ya kwanza.

Ngabu huwa nakuheshimu sana kwa hili umekuwa biased. Jiulize kwa nini hawa walalamikiwe kila siku? Ndiyo jide anaweza kuwa amekwisha hivyo kuwa frasturated lakini lazima kuwe na chembe ya ukweli. Wanamziki wa Uganda mambo yako vizuri, why not Tanzania? Lazima kuna kitu tu?. Na kwa clouds aka mawingu kama wanafanya hivyo ipo siku watadondoka tu. Wakumbuke every oppressive power creates its own distruction.
 
Una uhakika wanamuziki wa Uganda mambo yao yako mazuri kihivyo? Kama wa Marekani wapo wanaoshtaki mameneja wao, record labels zao, kushitakiana wao kwa wao, na kadhalika ndiyo itakuwa hao wa Uganda?

Watu wanashindwa kutambua jambo moja: biashara ya muziki ni ngumu sana na haina guarantee ya longevity hata kidogo. Wale wanamuziki wa Marekani unaowaona wana longevity ni wale ambao wame-diversify shughuli zao na si kutegemea muziki tu.

Mwanamuziki kuendelea kubaki juu kwa muda mrefu ni jambo gumu sana. Na pale anapoona ule umaarufu na mafanikio aliyokuwa nayo hapo nyuma hana tena ndo mambo ya finger pointing na blame yanapoanza. Na ndo haya ya Jide na Clouds.
 
Tatizo hao wa Marekani wana sue mameneja au kuwa broke
au wale 'one hit wonder' wakishafulia
story zao wengi hazifiki huku tena
wengi tuna image za 'video music' zao tu...hasa huku bongo...
 
Ha haaaaa nimeanza kuamini Ladyjaydee katumia akili kutengeneza pesa now
eti concert yake anauza tiketi now hadi elfu hamsini
huko nyuma hakuwahi kuuza tiketi hata elfu thelathini
sikumbuki while anafanya hivyo ana keep kuendeleza beef na clouds
so free matangazo anapata kwenye magazeti ya udaku na redio zingine
sasa akitangaza atahojiwa redio ipi watu wana pay attention wakihisi
ataongea kitu kuhusu clouds na tiketi zinauzwa kwa mgongo wa kuwakomesha clouds lol

dah........

leo nimesoma stori moja kwenye tweeter ni Tanzaniaeye wanasema jide yuko hatian kukamatwa na polis by 31 lakin inasemekana on the same day clouds watakua na event DAR
 
Last edited by a moderator:

komando binti machozi yule --clouds hawamuwezi; fulu kipaji pale - hutaki unaacha!!
 
On magic fm jion ya Leo nimemsikia Jide akisema kuwa katika kipindi chake cha SHAJALA AKA DIARY ATAONESHA VIDEO WATANZANIA WAONE USHAHID WA WASANII ALOWASAINISHA MKATABA WAKATUMBUIZE NYUMBAN LONJI NA HAWAKUTOKEA,PIA NIMEMSIKIA AKISEMA ATAWEKA BANDIKO LINGINE KWENYE MTANDAO WAKE BY MID-MAY
 
.... Ungekuwa krb hapa ningekusindikiza na kofi.

Kwakuwa yupo mbali mjambishe ...mprrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Yaani kwa kweli amechemsha watu wengi wakkienda wataishia nje bila kumuona, na joto litawaua as ni padogo sanaaaaa kwa event hii anayoitangaza juu chini.
 
Asante kwa kuchangia
ni hivi nijuavyo mimi ili kuwashinda kina Ruge na Kusaga ni lazima msanii au wasanii
wawe wale ambao ni top kwa wakati huo
sio msanii ambae amesha chuja au kuanza kuchuja

Kwa miaka kumi angeweza fight better labda five years ago sio now
ndo maana Ruge kamjibu kwa nyodo mno
but angekuwa ni Diamond ndio anawatangazia vita ungeona panic ya kina Ruge...

Jaydee angeweza then kuliko now ingawa tusubiri tuone
hata Sugu kilichomfanya asiweze sana ni hilo
hayuko kwenye peak......but mtu kama Diamond leo anaweza pata wadhamini bila kupitia kwa Ruge

nakupa ndiyo ya siyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom