gwino
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 333
- 47
Asante kwa kuchangia
ni hivi nijuavyo mimi ili kuwashinda kina Ruge na Kusaga ni lazima msanii au wasanii
wawe wale ambao ni top kwa wakati huo
sio msanii ambae amesha chuja au kuanza kuchuja
Kwa miaka kumi angeweza fight better labda five years ago sio now
ndo maana Ruge kamjibu kwa nyodo mno
but angekuwa ni Diamond ndio anawatangazia vita ungeona panic ya kina Ruge...
Jaydee angeweza then kuliko now ingawa tusubiri tuone
hata Sugu kilichomfanya asiweze sana ni hilo
hayuko kwenye peak......but mtu kama Diamond leo anaweza pata wadhamini bila kupitia kwa Ruge
kumuwin ruge sio lazima msanii awe kwenye pick, nafikiri unafahamu fiesta iliyopita dakika za mwisho ikabidi ihamishiwe leaders club badala ya pale viwanja vya posta kijitonyama.na kuwapisha kina sugu pale viwanja vya ustawi wa jamii.hakukuwa na nyimbo mpya watu walikuwa kibao shangwe za kutosha.
jide ana heshima yake katika game ya muziki hiyo ndiyo silaha yake itakayo mboost katika hili.
hivi unawezaje kusema jide ameisha? unapodai akabidhi kijiti, kwa nani?