Lady jaydee kawachota watu??

Lady jaydee kawachota watu??

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,320
Reaction score
117,611
Ha haaaaa nimeanza kuamini Ladyjaydee katumia akili kutengeneza pesa now
eti concert yake anauza tiketi now hadi elfu hamsini
huko nyuma hakuwahi kuuza tiketi hata elfu thelathini
sikumbuki while anafanya hivyo ana keep kuendeleza beef na clouds
so free matangazo anapata kwenye magazeti ya udaku na redio zingine
sasa akitangaza atahojiwa redio ipi watu wana pay attention wakihisi
ataongea kitu kuhusu clouds na tiketi zinauzwa kwa mgongo wa kuwakomesha clouds lol

dah........
 
Hii mbinu ya kuhakikisha unakuwa gumzo kwenye media ukikaribia kutoa
album au movie inatumika mno USA..
Watu wengine hufanya hata crime ili wapate matangazo ya bure ya media
 
dah hebu tusikilizie bt isije ikawa mbio za sakafuni hizo.
 
Jide ajiongeze..aache kuwa mwanamziki wa kiswahiliswahili..afanye mambo ki-taalamu zaidi....pale nyumbani lounge anadhani ataweka watu 3000 kwa pamoja?..pale ni sehemu ndogo ya kupumzika watu na sio kufanya event kubwa kama ile...aache ubahili atafute ukumbi mkubwa na ashirikishe wasanii wenzie ili wagawane keki ya taifa....

Kwa hili analolifanya hana tofauti na haoooo clouds anaolalamika kuwa wanamfitini na kutaka kumuua kibiashara.

Swali la kizushi kwa jide...hivi unagombana na clouds kwa vile hawapigi nyimbo zako au kwa vile mnagombea wateja wa show zenu mnapokuwa mnafanya show siku moja??

Kama jibu ni hawapigi nyimbo zako kwani unadhani tatizo ni nini as long as zipo radio zaid ya 15 hapa dar tuu.

Na kama mnagombea wateja huoni kama huo ni ushindani wa kibiashara kama wanavyogombea wateja pepsi na coca cola companies?

Jide wewe sasahivi ni msanii mkubwa coz nilikusikia unaagiza nguo za kuvaa za rand 14000 kwa ajili ya show yako ila unashindwa kufikiria kuwa na radio station yako ili uachane na hao wanyonyaji unaishia kulialia tuuu....

Pia hapo nyumbani lounge ni baa..tafuta ukumbi au jenga ukumbi/club kubwa uwe unapiga show zako na pia mahoteli mengine uweke show...sio kila siku wewe watu waje nyumbani pamoja na mapungufu yako ndo maaana tunakimbilia waliko skylight unaishia kulialia tuu.
 
Ha haaaaa nimeanza kuamini Ladyjaydee katumia akili kutengeneza pesa now
eti concert yake anauza tiketi now hadi elfu hamsini
huko nyuma hakuwahi kuuza tiketi hata elfu thelathini
sikumbuki while anafanya hivyo ana keep kuendeleza beef na clouds
so free matangazo anapata kwenye magazeti ya udaku na redio zingine
sasa akitangaza atahojiwa redio ipi watu wana pay attention wakihisi
ataongea kitu kuhusu clouds na tiketi zinauzwa kwa mgongo wa kuwakomesha clouds lol

dah........

Hee! Hii nayo ni thread??

Mods....have you fallen asleep??
 
The Boss ushauri wa bure tu kwako...Endelea kuwa mchangiaji tu wa thread na si muanzishaji maana duh..hueleweki! Mara "lol" mara "duh"..
 
Jaydee aliishiwa alipoenda kupandikiza mimba,sasa anarudisha hela kwa nguvu zote,ukizingatia nyumbani pamedodambasi tena anabaki kulia lia tu biashara ushindani,watu wasianzishe bendi kisa ya machozi bend?Sam machozi ndo alimkimbia maana Jide hawalipi vizuri mshahara
 
Hii mbinu ya kuhakikisha unakuwa gumzo kwenye media ukikaribia kutoa
album au movie inatumika mno USA..
Watu wengine hufanya hata crime ili wapate matangazo ya bure ya media

Mimi huyo nilishamstukia mapema sana.

Nadhani kaamua kutengeneza bifu na Clouds ili auze album yake ya 'Nothing But the Truth'.

Kesho asubuhi atakuwa Times FM kwenye kipindi cha Sunrise (kama sijakosea) kuzungumzia mambo mbalimbali ikiwemo hilo la bifu na Clouds.

Unakumbuka bifu la Kanye West na 50 Cent back in 2007? Jamaa wali-top Billboard 200 na waliuza vizuri sana katika wiki ya kwanza.
 
Ha haaaaa nimeanza kuamini Ladyjaydee katumia akili kutengeneza pesa now
eti concert yake anauza tiketi now hadi elfu hamsini
huko nyuma hakuwahi kuuza tiketi hata elfu thelathini
sikumbuki while anafanya hivyo ana keep kuendeleza beef na clouds
so free matangazo anapata kwenye magazeti ya udaku na redio zingine
sasa akitangaza atahojiwa redio ipi watu wana pay attention wakihisi
ataongea kitu kuhusu clouds na tiketi zinauzwa kwa mgongo wa kuwakomesha clouds lol

dah........

Wanyakyusa husema mjini sule
 
Kama wewe ni Mwanaume basi hii ni aibu. Habari za kitchen party hizi. Kama huna hiyo 50.000 si lazima upige jungu
 
Ha haaaaa nimeanza kuamini Ladyjaydee katumia akili kutengeneza pesa now
eti concert yake anauza tiketi now hadi elfu hamsini
huko nyuma hakuwahi kuuza tiketi hata elfu thelathini
sikumbuki while anafanya hivyo ana keep kuendeleza beef na clouds
so free matangazo anapata kwenye magazeti ya udaku na redio zingine
sasa akitangaza atahojiwa redio ipi watu wana pay attention wakihisi
ataongea kitu kuhusu clouds na tiketi zinauzwa kwa mgongo wa kuwakomesha clouds lol

dah........

Potelea mbali, jambo la muhimu hapo ni kuwang'oa Clouds kwenye ufisadi wa muziki, ni kama kuwang'oa CCM madarakani haijalishi nchi watachukua CUF au Chadema.
 
Jaydee aliishiwa alipoenda kupandikiza mimba,sasa anarudisha hela kwa nguvu zote,ukizingatia nyumbani pamedodambasi tena anabaki kulia lia tu biashara ushindani,watu wasianzishe bendi kisa ya machozi bend?Sam machozi ndo alimkimbia maana Jide hawalipi vizuri mshahara

Uko dunia gani wewe? Sam Machozi alisharudi kwa Jide, tena kwa kubembelezewa sana na mama yake. Issue nzima ilioneshwa EATV
 
Ha haaaaa nimeanza kuamini Ladyjaydee katumia akili kutengeneza pesa now
eti concert yake anauza tiketi now hadi elfu hamsini
huko nyuma hakuwahi kuuza tiketi hata elfu thelathini
sikumbuki while anafanya hivyo ana keep kuendeleza beef na clouds
so free matangazo anapata kwenye magazeti ya udaku na redio zingine
sasa akitangaza atahojiwa redio ipi watu wana pay attention wakihisi
ataongea kitu kuhusu clouds na tiketi zinauzwa kwa mgongo wa kuwakomesha clouds lol

dah........

Elfu 50 kwa muziki upi?
 
Eti kasema msije kwenye maziko ndio wosia wake, wosia gani
umekaa hivyo? Kwani kina Kusaga walisema watakuja??
na utajuaje kama utakufa kabla yao?
 
Uko dunia gani wewe? Sam Machozi alisharudi kwa Jide, tena kwa kubembelezewa sana na mama yake. Issue nzima ilioneshwa EATV

acha udakuzi mtoto wa kiume ww utasutwa...hyo ni EATV ynu peke'nu sio sam machozi yle,anaitwa mwinyi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom