hadi huruma kuna watangazaji wengine wa Redio ya wafu yaani walikuwa wanaipromote hiyo show ya Mwana Fatuma,ila hawakuwa na jinsi kwa sababu boss kasema,mioyoni mwao naamini kabisa walikuwa na Anakonda
Source : clouds FM :heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh: aibu yahooooooooooooooooooooo:A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109::A S 109:
Nakala kwa Nyani Ngabi, TANMORuge :A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112::A S 112:
Ukitaka kujua uwezo wa Lady JD sikiliza hapa wakati anapokea kutoka kwa Matonya,usisikilize ile anavyosema unajua nilikupenda, ila sikiliza wakati anavyomuitikia....