Maelezo yanayoonyesha mazingira ya tukio ni kweli kwamba ulinzi haukuwepo kabisa, hivyo watu aliokuwa nao inaonyesha kwamba walikuwa ni wapambe kwa maana ya mtaani yaani marafiki, na sio kwa maana ya ulinzi.
Pole JD, usitembee na Laptop usiku tmk watu hatujala na hakieleweki kukuacha inakuwa ngumu. Pole sana.
Pole sana inauma ku loose doc. hakuwepo mumeo awape za uso? na hukuwa na ile spray ya kina mama(mays spray) kwa ajili ya vibaka? laptop ya nini uwanjani au inarecord mpira na mavocal?
Sasa uwanja wa Taifa na Laptop!Sina hakika na vitu alivyoibiwa kwani tumezoea watu wakiibiwa utawasikia nilikuwa na kompyuta,mastercourse,billwate n.k hata kama huyo aliyeibiwa anashinda njaa kwa kutokuwa na pesa!
Pole sana jide lakini ongea ukweli.
Kama ni hivyo nampa Bigup commando jide.alikuwa anawapa apdeti wanablogu wake laivu from ze stediam! hapa inabidi tumpe kahongera kwa kuwahabarisha wanablogu wake maskini ambao zey kant afodi kuingia uwanjani.
alikuwa anawapa apdeti wanablogu wake laivu from ze stediam! hapa inabidi tumpe kahongera kwa kuwahabarisha wanablogu wake maskini ambao zey kant afodi kuingia uwanjani.
haka kadada kanapenda maujiko. na inawezekana mzimu wa jf umeanza kumuandama, if zis iz ze kesi inabidi aje aapolojaiz au et listi achangie japo kidola 10 ili jf tumsamehe mambo yake yawe saafi agein.Ajifunze kutoka kwa wenzake wazoefu... uwanja wa taifa siyo sehemu ya kuingia na vitu vya thamani bila maandalizi
Pole Jaydee ila kuwa muangalifu sana nchi na mji wetu wa DAR umebadilika sana, sana, sana, hakuna usalama.
Sidhani kama kuna ukweli wowote kuhusu kauli yako hii!alikuwa anawapa apdeti wanablogu wake laivu from ze stediam! hapa inabidi tumpe kahongera kwa kuwahabarisha wanablogu wake maskini ambao zey kant afodi kuingia uwanjani.
Hana walinzi, ila ni wapambe! tena alikuwa nao wengi tu siku hiyo...cheki picha hii hapa chini..Hao walinzi walikuwa wanafanya nini?
Hana walinzi, ila ni wapambe! tena alikuwa nao wengi tu siku hiyo...cheki picha hii hapa chini..
wamekula dili hawa watagawiwa baadae wapo wapo tulo wamejazana hivyo lakini wakashindwa kutoa msaada
nimefuatilia tena ni kweli hako kahabari kangu ni bogaz, chanzo changu cha habari kimechemsha! inabidi nifatilie tena kwanini kaenda na kalaptopu uwanjani?Sidhani kama kuna ukweli wowote kuhusu kauli yako hii!