Lady Jay Dee ametisha

Lady Jay Dee ametisha

Duh hadi wigi kuanguka si mchezo, wacha nikaangalie uwenda na kine... Kitaanguka
 
Mh wenye mahaba yetu Sawa basi. Ila hapo hakuna mziki wala rhythm. Naona umri umemganda bibi huyu. Kosa kubwa kimaisha alilofanya kumdharau mtu pekee wa kumkojoza. Hajarudi kabisa kwenye hadhi yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom