Msanii nguli na namba moja nchini kwa upande wa kina dada binti machozi, komamdo, anaconda, lady jay dee amefunga ndoa weekend hii kupitia mtandao wa I.G amepost baadhi ya picha akila honey moon uko Zanzibar
Hakomi tu alishaanza kupata mwili mdada wa watu sasa anatafuta stress party tu, atampa huyo kick akipata umaarufu na kutumia hovyo mali zake watajitokeza wakina gigi na tunu kama ishirini na hapo tutakuwa tumeshampoteza, pressure yake itakuwa juu sana

Huyo ndiye shemela mpya?
Kama ni kweli ni jambo la kheri,hongera zao.
Na hili liwe fundisho kwa ving'ang'anizi wa mahusiano yaliyokufa.
Maisha lazima yaendelee,lakini mahusiano mfu hayawezi kuendelea.
Period
haraka haraka hizi. aangalie tu asije akaishia kufanyiwa yale ya wa mwanzo na kuachwa. Naogopa kutaja maana sheria inanibana, ila wote mnajua alichofanyiwa for 15 years na aliyepita.🙂🙂