Piere. Fm
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,261
- 1,253
Redio ya wafu lazima wajinyonge mwaka huu,wabaya wao wanaendelea kushine
Hahahahahaha Wafu Fm kazi wanayo.
Redio ya wafu lazima wajinyonge mwaka huu,wabaya wao wanaendelea kushine
Mkuu hiphop ni DJ na nguzo nyingine hivyo bendi ni nakshi tu lakini DJ ni muhimu na kwenye hiphop live ni pale msanii anapotumia beat bila sauti! Hiphop bila DJ anayeweza kusratch na ku add lip hainogi!!MTAZAMO pale ni mwendo wa band tuu yaani live music.